Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ft. Everton 0-1 Chelsea
Niliyoyaona
Chilwell bado sana itamchukua mda kurudi kwenye kiwango chake.

Kunahaja ya kumpa nafas Broja kama no 9, kai hawez tupa goal 10+

Sterling kuna kitu amekiongeza ni vile tu anakosa mtu mwingine kule mbele mwenye uwezo kama yeye.

Ps.
Baada ya miaka 5, hatimaye tumeshinda Goodison Park.
Mara ya mwisho kushinda ilikuwa wakat wa Conte, 2016/17 tulipochukua ubingwa
 
Chilwell bado anatakiwa aingie sub. Tatizo naona muda mrefu cucu akicheza CB unless kama tutamleta Fofana
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
 
Fofana wa nini wewe.!!? Mbona umeng'ang'ana na hilo takataka
Unamtaka nani wewe ambaye yuko kweny Rada ya Kocha tofauti na huyo Fofana?

Siyo ututajie watu wako kutoka kichwani unaowapendekeza ukiwa hapo Buza
 
Jana mlivyokuwa mnaongea Kwenye uzi wetu ,nikajua mna timu ya kutisha

Sajirini kwa mbwembwe TU, ila bila striker ,mtakuwa mnasubiria penalty tu
 
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Umeangalia mpira leo?
 
Ni mchezo wa kwanza kwa namna tulivyo cheza sio mbaya, Everton wamekamia tu sababu ni game za mwanzo ngoja game zifike 5 huko baiskeli za miti zitajulikana tu.

Huyu Cucurella ni ana balaa sana, Broja apewe muda wa kutosha yuko njema, imeniuma sana Gallagher kucheza dakika 2 tu.

Sema Chelsea tuna matakataka mengi sana, mtu kama Havertz ni takataka sana
 
Huna akili, kenge wewe.
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
 
Buza utakuwa upo wewe, mimi siko Buza.
Unamtaka nani wewe ambaye yuko kweny Rada ya Kocha tofauti na huyo Fofana?

Siyo ututajie watu wako kutoka kichwani unaowapendekeza ukiwa hapo Buza
 
Mmeona moto wa James Tarkowski? Huyo beki sijui kwann anachukuliwa poa, ni moja ya mabeki wazuri sana.
 
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
We jamaa jicho la mpira ndio huna kabisa, hata nguvu ya kukuelimisha sina
 
Starlling ameongeza kasi ya mchezo katika mashambulizi ni mchezaji mzuri sana, epl proven ila anahitaji mchezaji mbunifu ambaye asiwe kama Mount plisic au karvt,......kourbarly amekua mzuri pia hatatujutia Rudiger, Chelsea ni title contender mwaka hu kubali au kata, timu itatulia vizuri tu kikosi ni kipana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom