Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bora waachane nae
Ukiachana nae unamsajili nani? chelseafc ni wajinga wanajua kabisa team ina mapengo mengi ya kuziba baada ya kuuza wachezaji wengi nilitegemea watasajili mapema na ukumbuke kuwa soko ni la kiushindani na kuna muda mchache ligi ianze unategemea nini
 
Brighton ni wapuuz , tusinunue caicedo ,hawa ndio waliotuuzia lile takataka cucurella mil60 ,upuuz mtupu
Shida sio Brighton tatizo kuu ni Chelsea wenyewe kudalay kufanya usajili tuna muda mchache sana ligi ianze wakati tuna magape mengi tuna shida ya kipa, central back kama ikitokea defender mmoja kaumia tutakuwa kwenye danger kubwa na tungeongeza striker mmoja na kiungo mshambuliaji mmoja cha ajabu team imestick kwenye huyo huyo Caicedo alafu hawamsajili bila kusajili maeneo mengine muhimu kwanza. Maana kwenye nafasi ya kiungo mkabaji tuliitaji at least wawili tungemsajili mmoja tungebaki nakiporo cha Caicedo pressure ingepungua Brighton wanajua kabisa hatuna option nyingine ndio maana wanafanya hivi
 
Ukiachana nae unamsajili nani? chelseafc ni wajinga wanajua kabisa team ina mapengo mengi ya kuziba baada ya kuuza wachezaji wengi nilitegemea watasajili mapema na ukumbuke kuwa soko ni la kiushindani na kuna muda mchache ligi ianze unategemea nini
Kwa hiyo dunia nzima kiungo ni caicedo peke yake. Chelsea waachane nao kuna wachezaji kibao wazur zaid ya huyo Caicedo. Mascout wa chelsea nao ni wavivu wa kutafuta ndio mana wanapigwa kila kukicha.
 
Hapana bodi wasikimbie waruwaru kusajili ili mradi mchezaji. Watulie wafanye uchambuzi yakinifu wasajili wachezaji watakuoendana na matakwa/mifumo ya kocha. Na sio lazima Caicedo

Sajili za waruwaru zimetuumiza sana huko nyuma.
Wewe ujanielewa hizo team zilizosajii mapema kwani hazikufanya uchambuzi yakinifu? Unaweza ukacheewa na pia ukafanya panic buys ndio kitu nahofia kwa Chelsea kwa mapungufu tulinayo hatukutakiwa twende kwa speed ya konokono kama hii
 
Oyaaa wanang Chelsea inakuaje? Kikosi munakionaje? Tunaeza walamba vijambio maboya ote wa top six musimu ujao?
 
Wachezaji wapo wengi tu kwenye hiyo nafasi tena zaidi yake, skauti ya Chelsea ni vilaza sana.
Ukiachana nae unamsajili nani? chelseafc ni wajinga wanajua kabisa team ina mapengo mengi ya kuziba baada ya kuuza wachezaji wengi nilitegemea watasajili mapema na ukumbuke kuwa soko ni la kiushindani na kuna muda mchache ligi ianze unategemea nini
 
Humu ndani nishawahi kusema kihusu cucurella toka kipind kile cha usajili.... Nilitukanwa sana nikaambiwa sijui mpira....

Nikasema cucurella hawezi muweka chillwell benchi... Ila nikaambia mimi sijui chchte kuhusu mpira
Cuculela a.k.a kimwana manywele
 
Bora waachane nae
Caicedo ni type ya Kante kwa uchezaji wake
  1. Anajua kufanya clean tackle hata kama ni za hatari
  2. Anajua kufanya ball recoveries ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya shambulio la haraka na kujenga mashambulizi ya kawaida
  3. Anajua kuusoma mchezo na kujua mashambulizi ya hatari yanajengwa kuelekea upande gani na kwa hiyo anakuwepo maeneo hayo kuzuia au kufanya clearance muhimu kabisa
  4. Pia anayo stamina na nguvu kama ya Kante ya kuwepo kila eneo la kati kumaliza kazi ya kukata umeme
Kwenye soko sasa mchezaji kama huyo hayupo, tutajisumbua, tutajidanganya na kupoteza muda sana
Tukimpata Caicedo atawezesha timu kupata utulivu pale katikati ya uwanja na kuwawezesha mabeki kucheza kwa utulivu. Pia atawawezesha final third ya timu pinzani kuwa busy na hivyo kuwezesha washambuliaji kutupatia mabao na ushindi kirahisi
1690601117477.png
 
Chelsea imeacha kumfuatilia Rayan Chrki kwa sababu ya Attitude yake
Pochettino anasema hiyo attitude yake haifai kwa utamaduni anaotaka kuujenga pale dressing room
Kwa hiyo sasa tutang'ang'ana na Caicedo hadi kieleweke
 
Wachezaji wapo wengi tu kwenye hiyo nafasi tena zaidi yake, skauti ya Chelsea ni vilaza sana.
Unajua kwanini huyo mchezaji ndio main target ya Chelsea? Kuna factor nyingi kwanza ana experience ya ligi ya uingereza, pili umri wake ni mdogo atatufaa kwa muda mrefu, tatu hana record ya injuries, nne ana consistency performance nzuri amecheza misimu miwili kwa kiwango cha juu.
Cash Money Forever
 
Chelsea imeacha kumfuatilia Rayan Chrki kwa sababu ya Attitude yake
Pochettino anasema hiyo attitude yake haifai kwa utamaduni anaotaka kuujenga pale dressing room
Kwa hiyo sasa tutang'ang'ana na Caicedo hadi kieleweke
Ila wanacheza nafasi mbili tofauti
 
Ila wanacheza nafasi mbili tofauti
Yes, Cherki yeye ni winga au no 10, hiyo nafasi hata hivyo haikuwa muhimu sana
Kama Angelo akipata Permit ya Uk anaweza cheza na Noni
Idara za mbele tumekamilika
Bado tu Caicedo na Beki pamoja na Kipa

Hata asipopewa Permit Maatsen anatosha kushindania RW na Madueke
 
Unajua kwanini huyo mchezaji ndio main target ya Chelsea? Kuna factor nyingi kwanza ana experience ya ligi ya uingereza, pili umri wake ni mdogo atatufaa kwa muda mrefu, tatu hana record ya injuries, nne ana consistency performance nzuri amecheza misimu miwili kwa kiwango cha juu.
Cash Money Forever
Hawa Brighton wachezaji wao wengi wanabebwa na mfumo wa timu ndomaana wanaonekana bora lakini kiuhalisia ni wachezaji wa kawaida

Je sisi Chelsea tuna mfumo wa kufanya huyu Caicedo awe bora au ndo yaleyale ya Cucurela kutupa £60M na kuwapa Colwill alionekana bora kule Brighton

Tuna makinda wengi wazuri pale Chelsea shida ni mfumo na kutowapa nafasi ila hawa wakina Casadei na Santos wakienda kule Brighton itakuwa ni habari nyingine
 
Yes, Cherki yeye ni winga au no 10, hiyo nafasi hata hivyo haikuwa muhimu sana
Kama Angelo akipata Permit ya Uk anaweza cheza na Noni
Idara za mbele tumekamilika
Bado tu Caicedo na Beki pamoja na Kipa

Hata asipopewa Permit Maatsen anatosha kushindania RW na Madueke
Vipi kuhusu kundus?
 
Hawa Brighton wachezaji wao wengi wanabebwa na mfumo wa timu ndomaana wanaonekana bora lakini kiuhalisia ni wachezaji wa kawaida

Je sisi Chelsea tuna mfumo wa kufanya huyu Caicedo awe bora au ndo yaleyale ya Cucurela kutupa £60M na kuwapa Colwill alionekana bora kule Brighton

Tuna makinda wengi wazuri pale Chelsea shida ni mfumo na kutowapa nafasi ila hawa wakina Casadei na Santos wakienda kule Brighton itakuwa ni habari nyingine
Uwezi ukawategemea casadei na Santos kwenye ligi yenye mechi 38? Unahitaji wachezaji wenye uzoefu wakati huo huo unawajenga hao vijana taratibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom