Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Galagher anayonafasi ya kukua kwa sababu amekutana na kocha mzuri. Chini ya Lampard asingeweza kukuza kipaji chakeGalagher anajitoa kuliko hata Havertz, Pochettino akimpika msimu mmoja unatosha bei yake itapanda sana