Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Team ya usajili ya Chelsea kwa sasa wanatazama sana uwezo wa kiufundi wa mchezaji kabla ya kumsajili,ndiyo maana chalobah, Gallagher wamewekwa sokoni. Yes wametokea academy lakini technical ability zao zipo chini sana japo wanajituma na energy ipo ya kutosha.
Ila kocha amesema Conor Gallagher yupo kwenye plan zake
 
Conor ni mzuri kwenye kupress, kukaba na kukimbia, Poche anaweza kumnoa zaidi
Akiuzwa asitupwe kama Odoi
Hata kocha nimemsikia akisema Conor Gallagher yupo kwenye mipango yake nadhani kocha ameona ana kitu na wapi aimprove
 
[emoji599][emoji599]BREAKING:𝐌𝐚𝐮𝐫𝐢𝐜𝐢𝐨 𝐏𝐨𝐜𝐡𝐞𝐭𝐢𝐧𝐡𝐨 has been sacked by Chelsea.

“Chelsea would like to thank Mauricio for all his efforts and contribution and wish him well for the future”, club statement announces.

Microphone check [emoji2424]One Two One Two
 
[emoji599][emoji599]BREAKING:𝐌𝐚𝐮𝐫𝐢𝐜𝐢𝐨 𝐏𝐨𝐜𝐡𝐞𝐭𝐢𝐧𝐡𝐨 has been sacked by Chelsea.

“Chelsea would like to thank Mauricio for all his efforts and contribution and wish him well for the future”, club statement announces.

Microphone check [emoji2424]One Two One Two
Nazani Arteta yupo kwenye position nzuri kufukuzwa maana kapewa mpunga Mzuri asipowin kikombe pressure itakuwa kubwa kwake
 
Kuna kocha ambae amewai kuulizwa swali na mwandishi akajibu kwamba mchezaji flani simtaki alafu ukizingatia ni kocha mpya
Hili la Conor Galagher Poche hakuulizwa, tangu mwanzo alisema Galaghjer yuko kwenye mipango yake
Aliwataja wachezaji wa academy kama watatu hivi
  1. Mason Mount
  2. Conor Galagher
  3. Levi Colwill
Msimamo wa Poche ni kwamba Galagher sio wa kutupwa na ndio maana Chelsea wamekataa ofa ya pauni 40m kutoka kwa Westham wanataka 50m
Haya mambo huwa uongozi unakaa na kocha kwanza ndipo wanaamua
Odoi kocha hamtaki ona sasa anauzwa milioni 8 na bado hakuna timu inamtaka na bado ana miaka 23 tu
Wale wachezaji wote waliouzwa ukiondoa Mount Poche hakusema kitu maana yake hakluwataka kwenye Project, na ninaamini kabisa huko nyuma ya pazia wanazungumza viongozi na kocha, nani abaki na nani auzwe
factor kubwa ya mchezaji wa zamani kubaki ya kwanza ni
  1. kuipenda Chelsea na kuwa na positive mentality juu ya timu
  2. pili uwezo wa mchezaji kwa standard za kocha ila ile ya kwanz andio muhimu zaidi na ndio maana mwanzo
Poche alitaka amjaribu Lukaku ila kwa mentality yake Poche kamzuia kabisa asije darajani kabla hawajaondoka kwenye USA. Hivyo hivyo kwa Ziyech. Hawa wachezaji walioko sasa hivi kama Chalobah na Galagher ni kweli wanaipenda Chelsea ila Chalobah hajavutiwa na Kocha, Galagher kocha anamuona kama anaweza kufundishika na akaboresha uwezo wake ila kama atauzika na kuipatia timu mapato mazuri auzwe ndio soka na alisema hivyo kwenye interview ya mwisho juzi nadhani au jana kuwa Galagher yuko kwenye mipango yake ila akipatikana mnunuzi wa bei nzuri auzwe ili asije akakalia benchi na kuanza kunung'unika na kudondoshea sumu dressing room kama akina Mount, Ziyech, Pulisic, Koulibaly, Lukau na wengine

Nasikia leo pia tetesi ni kwamba P{ochettinoi anamtaka kipa mpya naona hajaridhishwa na Kepa pamoja na kupatiwa kocha wa kumfundisha. Na anamtaka kipa mwenye uzoefu na EPL kama akina Sanchez wa Brighton, Raya wa Brentford na yule wa Shakhtar Donesty
 
Ni lazima aseme hivyo kwenye press ili kumjenga kila mchezaji kujituma zaidi lakini Gallagher atauzwa ikija ofa sahihi £50m
Hapana, lengo sio kumjenga la sivyo angesema hivyo kwa wote. Poche hana shida na Galagher, styel ya uchezaji wake ndio Poche anapenda, kuwa agressive, kupress na kufanya runs uwanjani ili kutengeneza nafasi kwa urahisi.
 
1690420693885.png
 
Humu ndani nishawahi kusema kihusu cucurella toka kipind kile cha usajili.... Nilitukanwa sana nikaambiwa sijui mpira....

Nikasema cucurella hawezi muweka chillwell benchi... Ila nikaambia mimi sijui chchte kuhusu mpira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom