Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tofautisha malengo ya Chelsea na Brighton kwanza ndio utanielewa vizuri
Hizi sio tena zama za Roman Abramovich za kusajiri wachezaji wenye majina makubwa wenye miaka 28 na zaidi

Hawa ni wakina Todd Boehly wanaamini uwekezaji wa vijana wadogo ndomaana unaona wamesajiri vijana wengi sana

Kuhusu malengo ya Chelsea hapo ni mmliki na kocha ndo wanajua sisi mashabiki ndo tuna kiu ya mafanikio ya kuona timu inarudi kwenye ushindani ule wa zamani lakini si swala la mda mfupi hivyo
 
Hizi sio tena zama za Roman Abramovich za kusajiri wachezaji wenye majina makubwa wenye miaka 28 na zaidi

Hawa ni wakina Todd Boehly wanaamini uwekezaji wa vijana wadogo ndomaana unaona wamesajiri vijana wengi sana

Kuhusu malengo ya Chelsea hapo ni mmliki na kocha ndo wanajua sisi mashabiki ndo tuna kiu ya mafanikio ya kuona timu inarudi kwenye ushindani ule wa zamani lakini si swala la mda mfupi hivyo
Ngoja ni kuulize kwanini kai na Auba wameuzwa?
 
Screenshot_20230729-172146.jpg
 
Kwa mechi za Pre season niwaambie kitu

Casadei yuko tayari kucheza EPL zaidi ya Santos tofauti na wengi tulivyokuwa tunamuona kule nyuma
Casedei anaweza kucheza CM, DM na AM
Andrey santos naona kwenye hii pre season amecheza kwa kuvuja jasho sana, kwenye kukaba hayuko pefetc sana kama Casadei, pia kwenye passing bado hajakomaa kama Casadei

So kwa maoni yangu kama nafasi ya CM iko moja katika hao wawili mimi ningempendekeza Casadei
 
🤣🤣🤣🤣

Mkuu ni Kudu's
Hapa kulikuwa na wachezaji watatu
  1. Cherki - attitude yake haikumfurahisha Pochettino kwa hiyo tunamuondoa Chelea hawamtaki tena
  2. Kudus - Pochetino anampenda zaidi Olise zaidi ya Kudus
  3. Olise - Poche ni admirer mkubwa sana wa Olise na ameshaongea naye kwenye simu kumshawishi aje, na Olise kakubali.
Kuna wachezaji wa ndani
  1. Galagher - Pochettino anampenda ila ni 50/50. Anakisiwa kuwa backup nzuri ya Enzo japo yeye anataka auzwe kwa sababu hataki kubaki kama akiba tu ila kasema halazimishi kuuzwa
  2. Chalobah - Yuko kwenye hatihati ya kuuzwa japo yeye anapambana kweli kweli kubaki na baadhi ya mashabiki wanampigia kifua abaki kwa sababu anaipenda Chelsea na anajitoa kweli kweli
  3. Maatsen - Poche ameshamkubali na yuko kwenye plans zake ila aidha kama winga wa kulia au LB
  4. Lewis hall - Poche anampenda anacheza kama LB lakini pia kama CM
  5. Cucurella - Kama Chalobah na yeye anapambana kweli kweli kubaki ila bado viatu vya Chelsea havimtoshi kabisa. Na yeye anaweza kukosa muda wa kucheza na akawa hana furaha
La muhimu zaidi Pochettino kasema anataka squad ya wachezaji 22, 23 au 24
Mimi naona utawala watampa squad ya wachezaji 25 tu, So bado fagio litapita hapa
Pochettino anakwepa kuwa na wachezaji wasiopata nafasi ya kucheza. Anataka wooote wapate nafasi ya kucheza ili wawe na furaha na wakiwa na furaha hakutakuwa na malalamiko na sumu pale dressing room
Tusipofagia kuna wachezaji kama Sterling na Cucurella wanaweza wasipate muda wa kucheza wakatuharibia mood ya dressing room

So ebu tuangalie squad inayoweza kubaki
Utaonan kuwa kama tutamnunua Olise au Kudus lazima Galagher auzwe au Casadei au Santos au Chunwuemeka watolewe mkopo
Ikiwa tutamsajili beki mmoja mzoefu (target ni March Guehi) kama kocha anavyodai basi Chalobah ndi wa kutolewa kafara kwa kuuzwa.
1690686701993.jpeg
 
Caicedo ni type ya Kante kwa uchezaji wake
  1. Anajua kufanya clean tackle hata kama ni za hatari
  2. Anajua kufanya ball recoveries ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya shambulio la haraka na kujenga mashambulizi ya kawaida
  3. Anajua kuusoma mchezo na kujua mashambulizi ya hatari yanajengwa kuelekea upande gani na kwa hiyo anakuwepo maeneo hayo kuzuia au kufanya clearance muhimu kabisa
  4. Pia anayo stamina na nguvu kama ya Kante ya kuwepo kila eneo la kati kumaliza kazi ya kukata umeme
Kwenye soko sasa mchezaji kama huyo hayupo, tutajisumbua, tutajidanganya na kupoteza muda sana
Tukimpata Caicedo atawezesha timu kupata utulivu pale katikati ya uwanja na kuwawezesha mabeki kucheza kwa utulivu. Pia atawawezesha final third ya timu pinzani kuwa busy na hivyo kuwezesha washambuliaji kutupatia mabao na ushindi kirahisi
View attachment 2701800

That is my thought too.
Nikiangalia jinsi Kante alivyokuwa anacheza na kukata umeme kati pale the same like na Caisedo. Huyu mwamba tuvunje kabati tu hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji120].
 
Wakati Arsenal, Man U, Barca na Real Madrid zikicheza against each other, the pride of London be like:-
20230729_223729.jpg
 
Nahisi Kyilian Mbape ameihujumu PSG
Kunasadikika kuna makubaliano ya siri na Real Madrid kwamba Mbape atahamia Real Madrid bure msimu wa kiangazi wa 2024
Kwa hiyo kuna uwezekano Mbape akakaa benchi mwaka mzima pale PSG
Huu utakuwa uhuni wa karne haijawahi kutokea kwenye ulimwengu wa michezo
Hii ni baada ya Mbape kukataa dau la mwaka mmoja la Uarabuni kwa dili la Dola bilioni moja
Yaani uhamishoi wa dola mil 300 na mshahara wa mwaka mmoja wa dola millioni 700
1690707985657.png
 
Nahisi Kyilian Mbape ameihujumu PSG
Kunasadikika kuna makubaliano ya siri na Real Madrid kwamba Mbape atahamia Real Madrid bure msimu wa kiangazi wa 2024
Kwa hiyo kuna uwezekano Mbape akakaa benchi mwaka mzima pale PSG
Huu utakuwa uhuni wa karne haijawahi kutokea kwenye ulimwengu wa michezo
Hii ni baada ya Mbape kukataa dau la mwaka mmoja la Uarabuni kwa dili la Dola bilioni moja
Yaani uhamishoi wa dola mil 300 na mshahara wa mwaka mmoja wa dola millioni 700
View attachment 2702896
Mbape, jau uyu mtoto, anataka kuwatia hasara na hakun kitu amefanya apo psg
 
Hatapelekwa, anawekwa kama alternative plan. Dili la Caicedo likishindikana anabaki, likiwezekana ndipo atapelekwa loan
Kwani tuna midfielders waluxury pale Kati kiasi itufanye tutoe kwa mkopo for me hata kama tutampata Caicedo sioni sababu ya kumtoa kwa mkopo hii team itatuua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom