Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna beki anaitwa James Tarkowski, Everton wamemchukua kutoka Burnley. Ni mara kadhaa namuongelea hapa, hebu leo mtizameni kisha mtapata majibu kwanini huw namkubali sana.
Tarkowski ni beki mzuri, solid, physical na anaweza kuzia mipira ya aina nyingi, hewani, chini, kushmbulia, bahati mbaya Chelsea huwa tunaangaliaga tu wale wanaouzwa gali
 
Ndio maana wachezaji wao (Everton) wameumia kwasababu ya kukamia.
Nilichopenda Chelsea waligundua hilo na wao wakawa solid na kutopanic
Pamoja na Everton kuweka mabasi ya hatari lakini Chelsea ilifanikiwa kuwa na touches nyingi golini mwao. Only tu forwards hawakua sharp kwenye final third
 
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Lakini Cucu amecheza vizuri sana kuliko Chilwell. Amepiga pass matata.
 
Agent wa De Jong ana push Ile mbaya Barca wapunguze mshahara wake abaki. Sasa majadiliano yamepause na Chelsea wanafuatilia matokeo ya kupunguzwa mshahata. Hii takataka Kwa Nini tusiachane naye. Barca Wana Nini Hadi watu kukubali kurengetwa hivi mchana
Machezaji mengine ni idiots Tu
 
Ila Wanangu kama n Beki mwenye Nidhamu na kujua kazi yake basi kwa hakika Kouloby tumepata na Tutaringa naye sanaaa
Sijui ni udhaifu au tuiteje, Koulibally anapenda sana kupanda mbele na kuchelewa kurudi, Silva yuko very aware na Counter ndie pekee anayeweka tahadhari huku nyuma hata Azpilicueta anachelewa kurudi kuzuia, I hope Fofana anaweza kuja kuongeza hiyo aliyonayo Silva
 
Hiko kitu hakipo kabsa... Chilwell bana ni msaada tosha kwa chelsea...

Chilwell katokq majeruhi ya mda mrefu,still leo amepaform kiaina...
Nahisi ww hujaangalia mpira chilwell bado hayuko vizuri hiyo nafasi Cucuella anachukuwa vizuri kwa performance aliyoonesha leo
 
Ft. Everton 0-1 Chelsea
Niliyoyaona
Chilwell bado sana itamchukua mda kurudi kwenye kiwango chake.

Kunahaja ya kumpa nafas Broja kama no 9, kai hawez tupa goal 10+

Sterling kuna kitu amekiongeza ni vile tu anakosa mtu mwingine kule mbele mwenye uwezo kama yeye.

Ps.
Baada ya miaka 5, hatimaye tumeshinda Goodison Park.
Mara ya mwisho kushinda ilikuwa wakat wa Conte, 2016/17 tulipochukua ubingwa
Broja anatakiwa aonyeshe kuwa anaweza kwenye dk chache anazopewa kama hizi za 10+, 20+, 30+ ndipo aaminiwe apewe zote, Chelsea hatupo hapa kuuza sura, na kama vipi tutamuuza. Sasa tumeanza kazi, safari ndefu ya ligi bado mechi 37 tukiwabembeleza hawa watoto tutashindwa hata kubaki top 4
 
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Kenge wa bluu wewe
 
Sterling + Koulibaly + Cucurella dalili ni nzuri ,
Wamecheza poa sana
Sterling anahitaj support kule mbele
Cucurella nategemea kumuona game ijayo akianza
Koulibaly natumai itakuwa ni precaution tu.
Kocha kasema kwa sababu alikuja late na hakupata pre season ya kutosha. Kwa hiyo physicality ya ligi inamsumbua. Anatakiwa asicheze muda mwingi hadi azoee
 
Lakini Cucu amecheza vizuri sana kuliko Chilwell. Amepiga pass matata.
Huyu akishazoea na kuweka chemistry nzuri na wachezaji wenzake mwisho wa msimu usishangae akichukua mchezaji bora wa mwaka pale Chelsea.

Cucu kwanza ni mtengenezaji wa nafasi mzuri sana, mpiga krosi za matata, line breker kama Koulibaly. mipira ya juu yuko powa. Hivi vitu vilikosekana sana kwa wachezaji wengi wa viungo na mabeki ambao ndio walitakiwa wafanye
 
Liverpool wana safu ya ushambuliaji nzuri sana
Tulipokuwa tunakazana kuajiri mabeki, wakatucheka eti tunanunua mabasi ya kuja kupaki
Leo hii pamoja na safu nzuri ya ushambuliaji wamenususrika kufungwa, nimefurahi sana
Udhaifu wa Klopp na PEP upo hapo kwenye defense. tukiweza kujengea hapo usishangae msimu huu wakapoteza points nyingi kwa sababu ya defense
Na kama anavyosema Jamie Redknapp tukimpata no. 9 calibre ya akina Diego Costa au Drogba, tumemaliza biashara asubuhi na ndio maana Chelsea wasiache kumleta hata Auba

"Jamie Redknapp insists the Blues 'need a No 9 like Diego Costa or Didier Drogba"
 
Tuchel baada ya mechi akihojiwa na waandishi alisema Chelsea bado haijamaliza usajili. Bado iko open kusajili ila watakaoleta maonjo mapya na ubora kwenye timu katumia neno watakaoleta (Input and Quality) kwenye kiungo ikiwa ni mojawapo
 
Kuhusu De Jong

Wako kwenye mjadala mkali na agent wake kuhusu kuuzwa au kupunguza mshahara ili aweze kubaki Barcelona
Hata hivyo kwa hali halisi sijui kama Barca watakubaliana, De Jong anaidai Barcelona malimbikizo ya mshahar wa takriban paundi mil 17. njia pekee ya kuofset haya madeni ni kupitia mauzo

Chelsea nasikia bid yao ya mwisho kutoa imelingana na ile ya Manure ya paundi mil 63

De Jong kinachomzui pamoja na sababu nyingi wamenunua jumba pale Barcelona na wameoana juzi juzi tu na mke wake ndie king'ang'anizi hataki kutoka Barcelona.

Sasa Barca wamempa wiki kuamua, wiki ijayo itajulikana kama anarengetewa mshahara chini ili abaki Camp Nou au aje London kuanza maisha mapya bila mshahara wake kuguswa
 
Chelsea imewapokonya mashetani wekundu hawa wachezaji
  1. Arjen Robben 2004 - Roben akitokea PSV wakati anakaribia kuedna Old TRansford alisema ndie sehemu ya ndoto yake kwenda kucheza kandanda ila mwisho wa siku kufumba na kufumbua yuko darajani kwa aibu ya Alex Furgie
  2. Obi mickel 2006 naye alikuwa amshekaribia kuvaa jezi nyekundu ila baadaye MOU alimhsawishi hadi akashinda
  3. Eden Hazard -2012 Hazard yeye aligeuka dakika za mwisho kwa kigezo cha kuja kucheza na mabingwa wa ulaya wakati huo
  4. Pedro -Pedro baada ya kustaafu kwa Sir Alex pia aliamua kuja Chelsea pamoja na Man U kumtaka
  5. Kante - The same story
  6. Sasa linakuja suala la De Jong ameshadai kuwa kama ni lazima atoke Barca basi angependa kuja darajani pamoja na kuwa Man U walishamalizana na Barca kuhus ada ya kumsajili. Watu wake wa akribu wanadai Chelsea inampa UCL wakati Man U hawana, pia London ni pazuri kuliko Manchester city
Regarding De Jong, meanwhile, Gabriel Agbonlahor recently stated the 25-year-old should move to Chelsea - instead of United.

He said on talkSPORT: “I’ve been talking about Manchester United not being as much of a pull for a while now and their fans don’t like it. They can’t handle the straight facts.

“De Jong, if he’s leaving Barcelona, he does not want to go to Manchester United. There are quotes that have come out that he would rather Bayern Munich, he would rather Chelsea.

“Because if I’m choosing a team in the Premier League and I’ve got the chance of Chelsea or Manchester United, I’m choosing Chelsea.
 
Mkuu huwa nakuamini sana ila source ya taarifa zako kuhusu De Jong ni za udaku
 
Kuna sehemu umesema kuwa usajili wa Alonso kwenda Barca unahusiana na usajili wa De Jong wakati Tuchel mwenyewe kasema Alonso ndiye aliyeomba kuondoka
Kwa hiyo fahamu hata kama mtafanikiwa kumpata De Jong sio Swap deal na Barca

Sources zako the sun hao ni kama ijumaa wikienda au risasi udaku mwingi
Hakuna tier 1 source yoyote iliyozungumza hiyo habari ya De Jong kuitaka Chelsea
 
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Cucu ni hatari kwenye kushambulia kuliko kukaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom