Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mohamed Kudus to Chelsea
Nani anakataa
Makubaliano binafsi na Chelsea yameshakamilika leo bado tu na Ajax
Anauzwa Paundi Mil 40 tu
Ana miaka 22
1690127316976.png
 
Angelo Gabriel ni mchezaji chipukizi mwenye kipaji ya kucheza mpira cha asili. Samahani kwamba atakabiliwa na matatizo ya kupata kibali cha kufanya kazi Uingereza hadi Januari 2024 kwa sababu ya vikwazo vya umri. Hivyo hakuna namna ya kuwa naye kikosini sehemu hii ya msimu zaidi ya kumpeleka kwa mkopo kwanza.
1690128261565.png
 
Yanafurah

Yatafurahisha labda tukitaka kulinganisha na msimu uliopita. Lakn kwenye kupigania nafasi 6 za juu bado sana, tusijidanganye the blues.
Labda sajili nyingn nzuri zaja, napo bado siioni timu yetu kufanya vizuri kama matarajio ya wengi yalivyo.
Viva Chelsea
Tatizo lililopo kubwa kwa sasa ni kiungo mkabaji, beki wa kati pamoja na beki wa kulia kule bado naona kuna pancha nyingi
 
Mkuu
Kua na game chache sio kigezo. Hivi kweli unategemea Gallagher afanye maajabu kwenye midfield? Sterling ana nini ambacho unaweza sema labda next season itakua fantastic?
Gallagher ni mchezaji mzuri ila tu matatizo yetu mashabiki tunataka mchezaji atoke kuwa yeye aje KDB au Bruna Fernandez. Hebu tuache fikra za kutaka maajabu tuwape muda wata excell vizuri tu
 
Nyie chelkenge saizi mmepowa kweli utadhani sio nyie wenye mnajaa jukwaa letu kule kupiga kelele Yani nyie ni wakuwaonea huruma tu.
 
Angelo Gabriel ni mchezaji chipukizi mwenye kipaji ya kucheza mpira cha asili. Samahani kwamba atakabiliwa na matatizo ya kupata kibali cha kufanya kazi Uingereza hadi Januari 2024 kwa sababu ya vikwazo vya umri. Hivyo hakuna namna ya kuwa naye kikosini sehemu hii ya msimu zaidi ya kumpeleka kwa mkopo kwanza.
View attachment 2697210
Dogo yupo vizuri sana
 
Michael Olise to Chelsea here we go
Pochettino ni shabiki mkubwa wa Olise na tayari ameshazungumza naye na wamekubaliana kwamba Olise atakuja Chelsea endapo dili hilo litafanikiwa.
Michael Olise ana release clause ya pauni milioni 35 katika mkataba wake na Crystal Palace
Chelsea wako serious na dili hili
Man U na Man City pia wanamfuatilia Olise
Kwa maoni yangu, Olise ni upgrade wa Madueke, ana ustadi sawa na Madueke kwenye kupiga chenga lakini anachomzidi Madueke ni uwezo wa kufunga kwa mashuti ya mbali na ya karibu, pia ana uzoefu wa EPL tofauti na Madueke.
Ikiwa Angelo atakwenda kwa mkopo, jambo ambalo linaweza kutokea, Olise atashindania RW na Madueke na katika msimu ujao Angelo atakaporejea, ushindani katika RW utakuwa mkali zaidi.
1690140622446.png

1690144160646.png

1690144179073.png
 
Gallagher ni mchezaji mzuri ila tu matatizo yetu mashabiki tunataka mchezaji atoke kuwa yeye aje KDB au Bruna Fernandez. Hebu tuache fikra za kutaka maajabu tuwape muda wata excell vizuri tu
Galagher anajitoa kuliko hata Havertz, Pochettino akimpika msimu mmoja unatosha bei yake itapanda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom