Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na Caicedo
Najua na nimechukua kule SkySports
Nilichovutiwa ni pale kwenye chances created tu
Ilitakiwa iwe vice versa
Mount 30
Caisedo 43
 
Tujikumbushe mechi ya 2012 na Barcelona hasa mechi ya marudiano kule camp nou
Tulipoteza mabeki wa first team wawili
Tery kwa reed card ya dk ya 36 na Carhill
Tulicheza pia pungufu dhidi ya timu kubwa ya Barcelona chini ya PEP katika ubora wake
 
Niliwaambia mashabiki wa manjesta kuhusu mount , wanataka akacheze double pivot na casemiro

Kwa stats hizi inaonesha kabisa lazima katikati mzidiwe , nimeona hata Chelsea mechi ambazo makocha walikuwa wanajichanganya wanamuweka double pivot ,timu ilikuwa Kati inapwaya Sana

Tuchel ndiye aliwajua kuwatumia mount na Kai alikuwa anawaweka juu chini anaweka wakabaji kina kante Jorginho na Kova

Nasubiri kuona man u wakimtumia kwenye double pivot ,wataishia kuona wamepigwa

Hapo Caicedo anacheza chini lakini kamzidi Chance created
 
Lete stats mimi nimecheki game nyingi iliwemo dhidi yetu huyo sio mchezaji mkabaji kivile yule wa fulham ni Bora kuliko rice na ndio maana england wakikutana na mataifa mengine mafundi kama crotia wanazidiwa Sana Kati huyo Rice haonekani
Nianze na tackles Rice wa 9

1687703834665.png
 
Mkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na Caicedo
Mount hapo kwenye double pivot Kuna mech kacheza , man u wanamtaka nadhan akatumike nafas ya Eriksen ,Sasa Kama hafanyi vitu muhimu Kama ball recovering, duels, wataishia kuona wamepigwa

Cha ajabu bado amezidiwa chance created na Caicedo ambaye amecheza mech nyingi chini kabisa .

Mech ambazo Mount alikuwa anawekwa double pivot nilikuwa naona Kiungo kinakuwa lain kupitika ,
 
Premium League hawana sts za kutosha ngoja nilete third party consolidated stats
 
Joao Palphinha anamzidi sana Rice kwenye vitu vingi vya ukabaji iala Advantage ya Rice ni umri
Miaka 24 kwa 27. Palhinha ni mzoefu na sio fair sana kulinganisha wachezaji wenye kutofautiana uzoefu sana

Labda Palhinha itakuwa fair tukimlinganisha na akina Rodri wa city wote 27

1687704258598.png
 
At least defensive aspect hizi hapa, ofcourse Palphinha yuko juu kidogo ya Rice bado nasema Rice ni mdogo bado ataendlea kucheza na kuboreka zaidi na hivyo anaweza hata akamzidi huyu akifikia umri wake
1687704982714.png
 
BREAKING NEWS
Understand Nico Jackson’s contract at Chelsea will be valid until June 2031 — it’s eight year deal! #CFCMedical completed in two days, first part yesterday and second today.€37m to Villarreal, bit more than release clause but better payment terms.
-Fabrizio Romano
1687705104302.png
 
SkySports huwa hawana akili. Mount na Caicedo wanacheza nafasi mbili tofauti. Pia Mount kacheza 1000+ mins, Caicedo 3000+ mins.
Nakubali nafasi zinazotofautiana sana huwa haimake sense kwenye analysis BUT Huwezi kukuta comparison yenye dk sawa, tena ujue mtu anayefanya comparizon sana sana wengine kuna kitu anatarget
 
Huu usajili wa Jackson ni wakipumbavu sana, pale hamna kitu yule ni takataka.
Lugha yako huwa ni ngumu sana
Ungekuwa wakati wa usajili wa Drogba ungesema pia huo usajili ni wa takataka sana
Tusiwe wataalamu zaidi ya scout, kocha na wataalamu waliohusika kwenye kumsajili
 
Mount hapo kwenye double pivot Kuna mech kacheza , man u wanamtaka nadhan akatumike nafas ya Eriksen ,Sasa Kama hafanyi vitu muhimu Kama ball recovering, duels, wataishia kuona wamepigwa

Cha ajabu bado amezidiwa chance created na Caicedo ambaye amecheza mech nyingi chini kabisa .

Mech ambazo Mount alikuwa anawekwa double pivot nilikuwa naona Kiungo kinakuwa lain kupitika ,
Ngojeni kwanza sisi tuuze, kwamba wamepigwa au la watajiju wenyewe
 
Hapo kuna scout ipi imetumika? Huyo dogo kafufuka mwishoni tu mwaligi huko nyuma alikuwa kituko tu. Narudia tena huyo Jackson ni takataka tu hamna mchezaji mule, mimi nimekuwa wa kwanza kumkataa ata kabla hajavaa jezi yetu. Piga screen shot utunze hii comment yangu, ipo siku utakumbuka haya niliyo andika.
Lugha yako huwa ni ngumu sana
Ungekuwa wakati wa usajili wa Drogba ungesema pia huo usajili ni wa takataka sana
Tusiwe wataalamu zaidi ya scout, kocha na wataalamu waliohusika kwenye kumsajili
 
Mkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na C
At least defensive aspect hizi hapa, ofcourse Palphinha yuko juu kidogo ya Rice bado nasema Rice ni mdogo bado ataendlea kucheza na kuboreka zaidi na hivyo anaweza hata akamzidi huyu akifikia umri wake
View attachment 2668507
Hayo maneno yalikuwa hivi hivi kwa Delle Ali leo yuko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom