Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,838
Maokoto tu leoBiashara Timu yangu inayofanya leo mpaka naanza kuhofia[emoji1787][emoji1787], Yaan siku ya leo tumeuza wachezaji wengi haijawahi tokea kweny historia kwa siku moja kuuza wachezaji ivyo.
Kesho Nashauri tuuze Mashabiki Maandazi maana nao tumewachokaaa. Tutaanza wenyewe huku Kuuzana