Sajilinii nyieee kengeee
Baada ya kubeba kombe la CONCACAF na kushinda tuzo ya mchezaji bora sasa timu nyingi zinamtaka kumsajili
View attachment 2667704
Yupo vizuri kwenye footwork?Chelsea mlengwa wao mkubwa kwenye nafasi ya ugolkipa ni Diogo Costa wa Porto ya Ureno. Inamfikiria kuwa yeye ndie kipa bora kuliko wote duniani kwa sasa. Ipo hata tayari kulipa Euro 75 millioni wanayotaka Porto na wako tayari kulipa kwa awamu tatu ili wasikiuke sheria za FFP.
Ni zoezi la Mendy kuhamia Al Hilal tu ndilo linalokwamisha.
Maoni yako ni ipi?
View attachment 2667680
Huyo anakuja chelsea man u wanatingisha kiberiti ili sisi tumwaachie haraka MountNahisi Chelsea watamnasa caicedo..
Fabrizio transfer saga akiiweka kwenye pinned post huwa linakuaga suala la muda tu so naimani caicedo ataenda chelsea
Caicedo kitambo tu destination yake Ni Arsenal au Chelsea , Arsenal tume focus na Rice , na tukajitoa kwa Caicedo, ambaye kashamalizana personal term na ChelseaHuyo anakuja chelsea man u wanatingisha kiberiti ili sisi tumwaachie haraka Mount
😂😂😂 Hawezi kuja United ila tukiamua tunamchukua. Ashawahi kusema ndoto yake ni kucheza United.Caicedo kitambo tu destination yake Ni Arsenal au Chelsea , Arsenal tume focus na Rice , na tukajitoa kwa Caicedo, ambaye kashamalizana personal term na Chelsea
Sion akienda kuharibu career yake manjesta
Kwan kubalance ni lazima tumuuze Mount kwenu peke yake mkuu.😀😀😀Simu moja tu tunamchukua ila tushaona kuna upigaji unataka kufanyika hapa na msimu huu hatuongezi hela. Chelshit tumewaachia pesa mezani wanajikuta viburi wakati kumpata Caicedo mpaka wa-balance vitabu la sivyo FFP itafanya kazi yake.
View attachment 2667997
Sasa mtamuuza nani mwingine kwa dau kubwa? Na Mount akibaki akija Caicedo hatapata namba ya uhakika so anaweza agome kuongeza mkataba na ataondoka bure next season.Kwan kubalance ni lazima tumuuze Mount kwenu peke yake mkuu.😀😀😀
🚨 Bayern Munich are trying to hijack Mason Mount from Manchester United.Sasa mtamuuza nani mwingine kwa dau kubwa? Na Mount akibaki akija Caicedo hatapata namba ya uhakika so anaweza agome kuongeza mkataba na ataondoka bure next season.
£50m + £5m ipo mezani ni nyie tu mtaamua.
Understand Man United have not left the negotiations for Mason Mount — as £55m bid is still valid on the table. But not accepting Chelsea’s £65m counter offer. 🚨🔴 #MUFCSasa mtamuuza nani mwingine kwa dau kubwa? Na Mount akibaki akija Caicedo hatapata namba ya uhakika so anaweza agome kuongeza mkataba na ataondoka bure next season.
£50m + £5m ipo mezani ni nyie tu mtaamua.
Bora abaki mpira anaujua.BREAKING NEWS:
Joao Felix has been discussed internally (again) at Chelsea, after Kai Havertz’s imminent departure and the ongoing Mason Mount saga. Player is happy to stay. More details to follow later.
View attachment 2667656
Alisema kipindi hicho mnamtaka anauzwa £2m mkamkataa kumsajili[emoji23][emoji23][emoji23] Hawezi kuja United ila tukiamua tunamchukua. Ashawahi kusema ndoto yake ni kucheza United.
Ukiachana na hayo £80m ni pesa nyingi sana, thamani yake halisi ni £50m max.
United hatuna uhitaji sana wa Caicedo na bei yake ndiyo inatuweka mbali kabisa na hilo dili.
Rice na Caicedo ni wachezaji wazuri ila bei zao na position wanazocheza hazipo realistic. Sisi tunawaangalia tu watu mtakavyopigwa.
Haya maneno aliongea akiwa Ecudor na man u mlihusishwa nae sana akataman kuja EPL , baadae mkamuacha mkasajili kina FredSimu moja tu tunamchukua ila tushaona kuna upigaji unataka kufanyika hapa na msimu huu hatuongezi hela. Chelshit tumewaachia pesa mezani wanajikuta viburi wakati kumpata Caicedo mpaka wa-balance vitabu la sivyo FFP itafanya kazi yake.
View attachment 2667997
Tuwe wakweli Caicedo kwasasa bila £80m+ humpati ,yupo vzr anacheza DM anacheza RB ya kuinvert kuwa Kiungo[emoji23][emoji23][emoji23] Hawezi kuja United ila tukiamua tunamchukua. Ashawahi kusema ndoto yake ni kucheza United.
Ukiachana na hayo £80m ni pesa nyingi sana, thamani yake halisi ni £50m max.
United hatuna uhitaji sana wa Caicedo na bei yake ndiyo inatuweka mbali kabisa na hilo dili.
Rice na Caicedo ni wachezaji wazuri ila bei zao na position wanazocheza hazipo realistic. Sisi tunawaangalia tu watu mtakavyopigwa.
Naona siku hizi unaongea vzri sjui umekuwa mkubwa au umeoa mkuuu maaana akili yako imekuwa kubwa sana kwenye mpiraTuwe wakweli Caicedo kwasasa bila £80m+ humpati ,yupo vzr anacheza DM anacheza RB ya kuinvert kuwa Kiungo
Ni press resistant, ana vitu vingi anavyotakiwa kuwa navyo Kiungo
Umri wake miaka 21 uwekezaji wa miaka 10
Rice pia hivo hivo