Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Simu moja tu tunamchukua ila tushaona kuna upigaji unataka kufanyika hapa na msimu huu hatuongezi hela. Chelshit tumewaachia pesa mezani wanajikuta viburi wakati kumpata Caicedo mpaka wa-balance vitabu la sivyo FFP itafanya kazi yake.
View attachment 2667997
Matamshi mablimbali kuhusu Caisedo (haya matamshi inaweza kuwa ya kutunga au kutoka kwa Caisedo)
  1. 2021: "Ndoto yangu ni kuichezea Manchester United"
  2. Januari 2023: "Niliteseka sana wakati uhamisho wangu kwenda Arsenal haukutimia."
  3. Juni 2023: Chelsea inamtaka Caicedo na Caicedo anaitaka Chelsea
 
Tuwe wakweli Caicedo kwasasa bila £80m+ humpati ,yupo vzr anacheza DM anacheza RB ya kuinvert kuwa Kiungo

Ni press resistant, ana vitu vingi anavyotakiwa kuwa navyo Kiungo

Umri wake miaka 21 uwekezaji wa miaka 10

Rice pia hivo hivo
Sikatai Rice na Caicedo wote wana vipaji na uwezo mkubwa tu uwanjani lakini Caicedo £80m na Rice £100m upfront ni upigaji.

Pale Brighton hata Bissouma alisifiwa sana. Caicedo ingekuwa £50m + £10m add-ons na Rice £70m max.

Kwa Rice nitakubali price yake ikiwa kubwa kwasababu ni key player na captain wa West Ham ila thamani yake kiuhalisia haifiki £100m+

Transfer market sasa hivi ni kutumia tu akili, wachezaji wapo wengi wenye qualities zinazofanana na wapo wanaopatikana kwa bei nzuri.

Mfano, last season Ajax walitukazia kwa Timber tukaishia kumpata Martinez ambaye ni bora zaidi. Mimi naona £80m+ ni kwa wachezaji proven na top talents kama Mbappe, Kane n.k.

United tunaongoza kupigwa pesa kwa kuamini hawahawa vijana. Sancho, Antony, Maguire. Yote ni kwasababu wanawekewa bei bila ya kuwa na historia yoyote ya maana kwenye football.

Wachezaji wanaostahili kutolewa £100m ni kama Harry Kane siyo hawa wakina Caicedo na Rice ni upigaji tu unafanyika na nitafurahi sana United tukiwakwepa hawa wachezaji.
 
Matamshi mablimbali kuhusu Caisedo (haya matamshi inaweza kuwa ya kutunga au kutoka kwa Caisedo)
  1. 2021: "Ndoto yangu ni kuichezea Manchester United"
  2. Januari 2023: "Niliteseka sana wakati uhamisho wangu kwenda Arsenal haukutimia."
  3. Juni 2023: Chelsea inamtaka Caicedo na Caicedo anaitaka Chelsea
Nguvu ya pesa hiyo. Transfer move yoyote kwa Caicedo ni nzuri kwa sasa maana atapata maslahi mazuri. Nazielewa sana kauli zake yeye popote kambi muhimu pesa.
 
Eti Joao Felix naye hamna kitu. Nyie endeleeni kusajil tu, tunawapa 2 or 3 years watu tuje tujiokotee kina Mudryk na wenzake
 
Sikatai Rice na Caicedo wote wana vipaji na uwezo mkubwa tu uwanjani lakini Caicedo £80m na Rice £100m upfront ni upigaji.

Pale Brighton hata Bissouma alisifiwa sana. Caicedo ingekuwa £50m + £10m add-ons na Rice £70m max.

Kwa Rice nitakubali price yake ikiwa kubwa kwasababu ni key player na captain wa West Ham ila thamani yake kiuhalisia haifiki £100m+

Transfer market sasa hivi ni kutumia tu akili, wachezaji wapo wengi wenye qualities zinazofanana na wapo wanaopatikana kwa bei nzuri.

Mfano, last season Ajax walitukazia kwa Timber tukaishia kumpata Martinez ambaye ni bora zaidi. Mimi naona £80m+ ni kwa wachezaji proven na top talents kama Mbappe, Kane n.k.

United tunaongoza kupigwa pesa kwa kuamini hawahawa vijana. Sancho, Antony, Maguire. Yote ni kwasababu wanawekewa bei bila ya kuwa na historia yoyote ya maana kwenye football.

Wachezaji wanaostahili kutolewa £100m ni kama Harry Kane siyo hawa wakina Caicedo na Rice ni upigaji tu unafanyika na nitafurahi sana United tukiwakwepa hawa wachezaji.
Kwasasa soko limefika hapo ,mchezaji akicheza vzr misimu miwili hasa hizi timu ndogo tegemea kuuziwa €100m

Mancity anaenda kutoa €100m kwa Josko Gvadiol

Ndio soko limekuwa hapo

Binafsi namkubali Sana Lavia ana uwezo mkubwa kwa umri wake ule ,anaptikana kwa £45-50m tu
 
Nguvu ya pesa hiyo. Transfer move yoyote kwa Caicedo ni nzuri kwa sasa maana atapata maslahi mazuri. Nazielewa sana kauli zake yeye popote kambi muhimu pesa.
Sema Caicedo aisee anaangalia pesa tu ,ukisoma ule waraka wake alioandikaga January ,Huyu jamaa yeyote atakayefika ana mpunga mrefu anafata

Trend yake inaonesha hivo
 
Kwan kubalance ni lazima tumuuze Mount kwenu peke yake mkuu.😀😀😀
Mount kuuzwa ni lazima, nasikia ni Chelsea ndio walikuwa wanaforce auzwe, Mount alitaka kubaki Chelsea
Chelsea wanacholenga ni kuwa na kizazi cha wachezaji wachanga wanaoanza na bili ndogo ya mishahara
Nandio maana akiuzwa Mount watakuwa wamebaki hawa wenye mishahara mikubwa
  1. Rahim Sterling 325k/week
  2. Enzo Fernandez 315k/week
  3. Reece James 250k/week
  4. Ben Chilwell 200k/week
  5. Wesley Fofana 200k/week
  6. Kepa Arizabalaga 150k/week
  7. Marc Cucurella 175k/week
 
Sasa mtamuuza nani mwingine kwa dau kubwa? Na Mount akibaki akija Caicedo hatapata namba ya uhakika so anaweza agome kuongeza mkataba na ataondoka bure next season.

£50m + £5m ipo mezani ni nyie tu mtaamua.
Mkuu tushauza Mateo Kovacic pound 30M, kai 65, Hakim Ziyech 8M, koulibaly pamoja na Eduardo Mendy so hatuna wasiwasi
 
Sasa mtamuuza nani mwingine kwa dau kubwa? Na Mount akibaki akija Caicedo hatapata namba ya uhakika so anaweza agome kuongeza mkataba na ataondoka bure next season.

£50m + £5m ipo mezani ni nyie tu mtaamua.
Man U wanamchukua, biashara ndio ziko hivyo
Uongozi mpya wanataka kumuuza, bid ya man u bado iko active na Man U hawataondoa bid yao hadi Chelsea waseme kabisa hawataki hiyo pesa. Mimi naona hata kabla ya mwezi huu kuisha Chelsea watapokea hiyo pesa haraka haraka ili dili la Caisedo liende haraka nalo. Kumbuka pia Chelsea wamedhamiria kumnunua kipa wa Porto Diogo Costa anauzwa ghali 75M so pesa za Mount ni muhimu sana
 
Sikatai Rice na Caicedo wote wana vipaji na uwezo mkubwa tu uwanjani lakini Caicedo £80m na Rice £100m upfront ni upigaji.

Pale Brighton hata Bissouma alisifiwa sana. Caicedo ingekuwa £50m + £10m add-ons na Rice £70m max.

Kwa Rice nitakubali price yake ikiwa kubwa kwasababu ni key player na captain wa West Ham ila thamani yake kiuhalisia haifiki £100m+

Transfer market sasa hivi ni kutumia tu akili, wachezaji wapo wengi wenye qualities zinazofanana na wapo wanaopatikana kwa bei nzuri.

Mfano, last season Ajax walitukazia kwa Timber tukaishia kumpata Martinez ambaye ni bora zaidi. Mimi naona £80m+ ni kwa wachezaji proven na top talents kama Mbappe, Kane n.k.

United tunaongoza kupigwa pesa kwa kuamini hawahawa vijana. Sancho, Antony, Maguire. Yote ni kwasababu wanawekewa bei bila ya kuwa na historia yoyote ya maana kwenye football.

Wachezaji wanaostahili kutolewa £100m ni kama Harry Kane siyo hawa wakina Caicedo na Rice ni upigaji tu unafanyika na nitafurahi sana United tukiwakwepa hawa wachezaji.
Rice amekuwa hiyvo kwa muda mrefu, 100+ kwake ni halali kwa soko la sasa
Caisedo naye ameonyesha consistency kwa umri mdogo ule
Japo kwa sasa Caisedo hawezi kulinganishwa na Rice kwenye factors nyingi ila Caisedo naye akifikia umri wa Rice atakuwa tishio probably the next Makelele in Chelsea
 
1687699358019.png
 
Casadei:
"Nimefurahishwa sana na chaguo nililofanya pamoja na wakala wangu Paolo Busardò la kujiunga na Chelsea. Haikuwa chaguo rahisi, lakini nilitaka kuchukua fursa hii kwa sababu fursa ya kusaini timu kubwa kama Chelsea, inaweza tu kuja mara chache katika maisha yako ya taaluma ya mpira, au saa nyingine mara moja tu!"
1687699676657.png
 
Rice kwa EPL ni top CDM usikatae
Lete stats mimi nimecheki game nyingi iliwemo dhidi yetu huyo sio mchezaji mkabaji kivile yule wa fulham ni Bora kuliko rice na ndio maana england wakikutana na mataifa mengine mafundi kama crotia wanazidiwa Sana Kati huyo Rice haonekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom