Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mhenga silva na akina Ben wanatosha
Hivi ninyi hamridhiki, tumewatosa wahenga wengi sana, Chilwell sio mhenga, mhenga ni 30+
  1. Tunaye Silva 38 sidhani kama ataongezewa muda baada ya Juni 2024
  2. Sterling 28
  3. Kepa 28
  4. Chilwell 26
 
Hivi ninyi hamridhiki, tumewatosa wahenga wengi sana, Chilwell sio mhenga, mhenga ni 30+
  1. Tunaye Silva 38 sidhani kama ataongezewa muda baada ya Juni 2024
  2. Sterling 28
  3. Kepa 28
  4. Chilwell 26
Sterling huyu nae angetupisha tu hafai
 
Hyu cucurelaa atoke tu hatufai maaana tumepigwa pale
Cucrella anapitwa kwa mbali na Ian Maatsen pamoja na Lewis Hall
Sijui Chelsea huwa wanaona kengeza
1687766947224.png
 
Chelsea Women
Hwa wababe pekee yao wamechangia magoli 67 msimu uliopita kwenye WSL. Kwenye wanaume tungekuwa na huo uwiano tungeringa sana
  • Kerr: 35 goals
  • Reiten: 32 goals
1687796753289.png

-Matt Law
Mason Mount anatarajiwa kumwambia Pochettino kwamba ataendelea kutoa kila kitu kwa ajili ya Chelsea wakati bado ni mchezaji wa klabu hiyo na kwamba yuko tayari kwenda pre-season na kufanya kazi kwa bidii kabla ya msimu ujao. Mount hajaomba kuondoka katika klabu hiyo bali alilazimishwa.
1687796984444.png
 
Chelsea wameteremsha dau la Mount kutoka Paundi mil 65 hadi mil 60
Mwanitesa United wao wameishia kwenye mil 55 na ndio dau lao la mwisho. Chelsea waliwakaribisha kwa mazungumzo ya ana kwa ana lakini wakagoma
 
Miaka miwili iliyopita
Jina tu ndio bado lipo
View attachment 2669093
Niliwahi kusema kwa mashabiki wa manjesta wakabisha ila kinaenda kutokea , Project ya Chelsea inaweza kuwahi ku mature kuliko ya Manjesta sababu Chelsea wamekuwa haraka Sana ku overcome matatizo ,

Wameweza kwa haraka Sana kuondoa wachezaji wasiowataka wakati manjesta mpaka Sasa wanahangaika kuwaondoa kina magwaya ,Sancho , Fred ,n.k. Na sokon hakuna anayewataka ,

Unamuweka magwaya sokon kwa 40 , Sancho 45 Nani atawanunua
 
Dili la Cheek limekamilika kwa Euro 15m na adons za 5m
Cheek hatunaye tena
Cheek ni mojawapo wa wachezaji wasiokuwa walalamishi pale Chelsea
RLC kashindwa kurise game yake wakati potential yake ni kubwa Sana
 
Victor Osimhen anaitaka Chelsea na Pochetino ni mlengwa wake na. 1 katika nafasi ya striker. Mshambuliaji huyo aliyefunga magoli 31 msimu uliopita na anayelipwa Paundi elfu 93 na Napoli atakuwa ameahidiwa donge nono la mshahara na Chelsea. Liverpool na Manchester United wameshakutana na mwakilishi wake na mchezaji anaitaka Chelsea ambayo hata haishiriki mwakani kwenye mashindani makubwa ya Ulaya
1687821105556.png
 
Romeo Lavia amemwaagiza wawakilishi wake kwamba ana nia ya kuhamia Stamford Bridge. Na kulingana na Simon Phillips kwenye Substack - Chelsea wana dhirika kutumia kiasi cha £50m kusajili wachezaji wa kati wa miaka 19.
1687822060867.png
 
-Matt Law
Mason Mount anatarajiwa kumwambia Pochettino kwamba ataendelea kutoa kila kitu kwa ajili ya Chelsea wakati bado ni mchezaji wa klabu hiyo na kwamba yuko tayari kwenda pre-season na kufanya kazi kwa bidii kabla ya msimu ujao. Mount hajaomba kuondoka katika klabu hiyo bali alilazimishwa.
View attachment 2669625
Akibki tunataka atoe kila alichokuwa nacho na ajitoleee kwenye timu aache ujinga
 
Victor Osimhen anaitaka Chelsea na Pochetino ni mlengwa wake na. 1 katika nafasi ya striker. Mshambuliaji huyo aliyefunga magoli 31 msimu uliopita na anayelipwa Paundi elfu 93 na Napoli atakuwa ameahidiwa donge nono la mshahara na Chelsea. Liverpool na Manchester United wameshakutana na mwakilishi wake na mchezaji anaitaka Chelsea ambayo hata haishiriki mwakani kwenye mashindani makubwa ya Ulaya
View attachment 2669955
Hizi taarifa nzuri Sana sasa ndio wakati wetu wakusumbua sokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom