Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na C

Hayo maneno yalikuwa hivi hivi kwa Delle Ali leo yuko wapi?
Kwa hiyo unataka kusema Arse8 kapigwa wakati wao kule ni sherehe tupu kwa kumpa mr soft Kai na Mchele
 
Hapo kuna scout ipi imetumika? Huyo dogo kafufuka mwishoni tu mwaligi huko nyuma alikuwa kituko tu. Narudia tena huyo Jackson ni takataka tu hamna mchezaji mule, mimi nimekuwa wa kwanza kumkataa ata kabla hajavaa jezi yetu. Piga screen shot utunze hii comment yangu, ipo siku utakumbuka haya niliyo andika.
Usijali huyo atakuwa backup
Mazungumzo yataanza wiki ijayo na wakala wa huyu mwamba Victor Osimhen

The agents of #Napoli forward Victor Osimhen are set for sit down talks with #Chelsea this week in London.

1687744576799.png
 
Mount kuuzwa ni lazima, nasikia ni Chelsea ndio walikuwa wanaforce auzwe, Mount alitaka kubaki Chelsea
Chelsea wanacholenga ni kuwa na kizazi cha wachezaji wachanga wanaoanza na bili ndogo ya mishahara
Nandio maana akiuzwa Mount watakuwa wamebaki hawa wenye mishahara mikubwa
  1. Rahim Sterling 325k/week
  2. Enzo Fernandez 315k/week
  3. Reece James 250k/week
  4. Ben Chilwell 200k/week
  5. Wesley Fofana 200k/week
  6. Kepa Arizabalaga 150k/week
  7. Marc Cucurella 175k/week
Sielewi Sterling anabaki kwa nni ?
 
Man U wanamchukua, biashara ndio ziko hivyo
Uongozi mpya wanataka kumuuza, bid ya man u bado iko active na Man U hawataondoa bid yao hadi Chelsea waseme kabisa hawataki hiyo pesa. Mimi naona hata kabla ya mwezi huu kuisha Chelsea watapokea hiyo pesa haraka haraka ili dili la Caisedo liende haraka nalo. Kumbuka pia Chelsea wamedhamiria kumnunua kipa wa Porto Diogo Jota anauzwa ghali 75M so pesa za Mount ni muhimu sana
Yaaan kipa anauzwa pesa yote hyo du 75 hatari san
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom