Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  1. Bayern wameshinda ubingwa wa Bundesliga na hapo hapo wamemtimua CEO (Oliver Khann) na sporting director (Hasan Salihamidžić )
  2. Chelsea sio tu hatutashiriki michuano ya ulaya, bali pia tunamaliza ligi kwenye nafasi ya 12 au 13 na bado Boehly ataendelea kuivuruga timu kama akina Oliver Khann walivyokuwa wanafanya
1685211093637.png
 
Raphael Leao on Silva

Leao: “Toughest opponent?, Thiago Silva, an experienced player who has quality and understands the space well, he is a smart player, that’s the right word” (
@footballitalia
) #CFC

1685211703456.png
 
Humu hamna kocha humu. Ameikuta Bayern nafas y kwanza, naona alikua anapambana kuipeleka nafasi ya pili ikashindikana.
Morinho na mpira wake mbovu alishafeli abaki zake tu roma huko. hivi kumbe kuna bado watu wanaupenda mpira wa morihno. Kha.
Unakuta watu wanataka kabisa MO aludi Chelsea mimi nashindwa kuwaelewa
 
Unakuta watu wanataka kabisa MO aludi Chelsea mimi nashindwa kuwaelewa
Nakubali MO kapitwa na makocha wengi wanaofundisha soka la kisasa ila bado anazo sifa makocha wengi hawana
  1. Ana mbinu za kupata matokeo hata kama timu ni mbovu
  2. Anajua kusuka defense isifungwe hovyo hovyo
  3. Anajua kupata matokeo kwenye timu kubwa na mashindano makubwa
  4. Anajua kusoma mechi na kama anaona anazidiwa ni mzuri sana kwenye kudefend asibugizwe magoli
Udhaifu wake mkubwa
  1. Asipopewa wachezaji anaowataka yeye, ni rahisi kuanzisha ugomvi na wachezaji
Mimi bado namuweka MO katika makocha 10 bora kwenye hizo ligi 5 kubwa Ulaya
Ameprove kuwa kocha bora kwa timu nyingi alizofundisha, alifanya vibaya pale tu uongozi uliposhindwa kumpa support inayotakiwa. Na makocha wengi wazuri wanashindwa the same asipopewa support as a coach
Experience ya Man U na Spurs imeonyesha hiyo japo kwa man u kabeba Europa (Last trophy tangu MO aondoke) kwa Spurs kaipeleka hadi fainali na possibly angebeba FA kama asingefukuzwa
 
Kwa taarifa sahihi zinadai kuwa Lampard amejitahidi kufanyia mazoezi maeneo yote yenye udhaifu kwenye timu na zaidi ya yote alialika mchezaji mmoja mmoja ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo huru ya kibinafsi na yote haikuzaa matunda
Kila wiki wachezaji wanacheza fyongo na timu inafungwa tu kizembe

Mimi naamini tatizo sio kocha, hata akija Pochettino tatizo la msingi linalowafanya wachezaji wagome kucheza vizuri lisipofanyiwa kazi, msimu ujao tutaendlea kucheza fyongo tena zaidi ya msimu huu na tutashuka daraja hakika

Kwa maoni yangu tatizo la msingi liko kwenye mwelekeo mpya wa timu kwenye kuwapa motisha wachezaji hauka kwa faida ya wachezaji
Boehly approach yake ni kuwa na timu yenye mishahara midogo. Mfano kwa sasa average wage ya mchezaji Chelsea iko chini ya mil 100. Nadhani iko kwenye 80m au 90m.
Wachezaji wamekata tamaa hata wakicheza vizurei hakuna atakayewaona
Mchezaji kwenye timu ndogo anacheza vizuri akitumaini ataonekana kwenye timu kubwa ili apate fursa ya kushinda makombe na kuboreshewa mapato yake
Kwenye timu kubwa mchezaji anacheza vizuri ili aongezewa mshahara na mapato mengine na pia kujenga legancy
Sasa hiyo kwa Chelsea imefifia na wachezaji wengi wamesaini mikataba ya muda mrefu wanaona kama wameingizwa kingi
Cha kufanya
Ni vyema uongozi ukaja na sera nzuri yenye faida kwa wachezaji na waambiwe hata kama sera ni kuwa na averag wage bill lakini mchezaji anayecheza vizuri mkataba wake utaboreshwa muda wowote bila kujali ana mkataba wa muda mrefu
Akina Boehly wakifanya hivyo obviously morale ya wachezaji itarudi

1685269924732.png
 
Mkuu kwani una utofauti gani na Chelsea?

Pamoja na kuongoza Ligi adi April 28 kwa points 8 mbele bado umetoka bila kikombe cha kahawa.
Weka msimamo ndio utajua utofauti ulipo,kwa sasa hapo huwezi kujua maana ushachanganyikiwa
 
Kwa taarifa sahihi zinadai kuwa Lampard amejitahidi kufanyia mazoezi maeneo yote yenye udhaifu kwenye timu na zaidi ya yote alialika mchezaji mmoja mmoja ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo huru ya kibinafsi na yote haikuzaa matunda
Kila wiki wachezaji wanacheza fyongo na timu inafungwa tu kizembe

Mimi naamini tatizo sio kocha, hata akija Pochettino tatizo la msingi linalowafanya wachezaji wagome kucheza vizuri lisipofanyiwa kazi, msimu ujao tutaendlea kucheza fyongo tena zaidi ya msimu huu na tutashuka daraja hakika

Kwa maoni yangu tatizo la msingi liko kwenye mwelekeo mpya wa timu kwenye kuwapa motisha wachezaji hauka kwa faida ya wachezaji
Boehly approach yake ni kuwa na timu yenye mishahara midogo. Mfano kwa sasa average wage ya mchezaji Chelsea iko chini ya mil 100. Nadhani iko kwenye 80m au 90m.
Wachezaji wamekata tamaa hata wakicheza vizurei hakuna atakayewaona
Mchezaji kwenye timu ndogo anacheza vizuri akitumaini ataonekana kwenye timu kubwa ili apate fursa ya kushinda makombe na kuboreshewa mapato yake
Kwenye timu kubwa mchezaji anacheza vizuri ili aongezewa mshahara na mapato mengine na pia kujenga legancy
Sasa hiyo kwa Chelsea imefifia na wachezaji wengi wamesaini mikataba ya muda mrefu wanaona kama wameingizwa kingi
Cha kufanya
Ni vyema uongozi ukaja na sera nzuri yenye faida kwa wachezaji na waambiwe hata kama sera ni kuwa na averag wage bill lakini mchezaji anayecheza vizuri mkataba wake utaboreshwa muda wowote bila kujali ana mkataba wa muda mrefu
Akina Boehly wakifanya hivyo obviously morale ya wachezaji itarudi

View attachment 2638046
Mikataba ile inawacha wachezaji wakate tamaa(kwa wanaokunja mshiko mdogo) au wajisahau (kwa wanaokunja mpunga mwingi)

Mtu ana miaka 8 ndio kwanza yupo mwaka wake wa kwanza alafu analipwa mil 4 na anakula ugali sukari huyu anafikiri mpaka ufikie mwaka wa kuextend deal sio leo so anaharibika kisaikolojia, and viceversa ........

Aiseeee leo nimekuelewa kidogo

London is
 
Mauricio Pochettino has finally signed the contract as new Chelsea head coach after verbal agreement reached 2 weeks ago.

#CFCOfficial statement ready, he’s starting his job as Chelsea manager next week.Contract will be valid until June 2026.

Here we go confirmed.

- Fabrizio 1hr ago
 
Thiago Silva:

“Me and Chelsea fans… it was love at first sight. I feel really happy here.
I’m really proud to be at Chelsea”.
#CFC“Obviously, this year didn’t go well at all, but all we can do is hope for better next season”.
-Fabrizio

1685282193154.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom