Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ANAFUNGWA CHELSEA ANAUMIA LIBERPOOL
Screenshot_20230525_233749_All%20Goals.jpg
 
Tulishasema kocha mzuri kwanza, tusiwahukumu sasa hivi
Ni kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.
 

Attachments

  • IMG_20230526_063310_007.jpg
    IMG_20230526_063310_007.jpg
    10.6 KB · Views: 9
THE BLUES FIXTURES

Arsenal vs Chel - TUNAFUNGWA

Bourne vs Chel - SARE/KUFUNGWA

Chel vs N. Forest - SARE/KUFUNGWA

City vs Chel - TUNAULIWA

Man utd vs Chel - PIPA NA MFUNIKO/SARE

Chel vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Haya Cash Money Forever futa kauli yako kuhusu Man Utd.
Yaani Utd ndio timu ya kwanza kabisa kubeba kombe msimu huu halafu wewe unaiona ni pipa?
Laiti mashabiki wa Cheusii wangeyajua magumu wanayoenda kuyapitia tena msimu ujayo ni bora wangehamia Manchester kwa muda.
Screenshot_20230419_113139.jpg
 
Ni kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.
Na bado kaachwa akacheza dk.80 zote. Lampard aachane na habari za mpira.
 
Epl ni mbio ndefu hutuwezi kuwategemea Mudyk na Madueke pekee bado sio wa kuwategemea.

Ndio maana nikasema kama Ziyech, Paparazi na Pulisic wataondoka lazima tujaze nafasi zao kwa mawinga wenye uwezo zaidi ya Mudyk na Madueke
Yupo Sterling na anakuja Nkunku
Pia Havertz ni winga na miungo mshambuliano. Akiondoja Mount lazima tusajili mwingine kule mbele.
Pia Pochettino naomba ambakize Ziyech na amtumie kulingana na kipaji chake. Lamoard alikuwa anamoatia Ziyech ila alipokuja TT alimzamisha kabisá
 
Ni kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.
Galagher mchezaji mzuri, palace alicheza vizuri. Tunarudi pale pale kwa kocha. Uchezaji wa Galagher ukiratibiwa na kicha anayemjua ni mzuri. Anajua kupress, sasa hivi anainekana papara ila akiwa chini ya kocha mzuri pressing yake italeta manufaa makubwa
 
Jana sikuangalia mpira nilikuwa natokea msibani Mbeya kwa wakwe zangu. Ila nilipoangalia replay, Chelsea wana mpira mzuri kuliko Manure tena kwa mbali sana.
Tatizo kuna wachezaji pale Chelsea utafikiri hawakutokea kwenye mazoezi. Anayeongoza kucheza kwa makosa ya kiduanzi ni W. Fofana,
Almost all goals ilitokana na yeye kufanya silly mistakes au kuzubaa kwenye position yake. Mchezaji niliyemuona akijituma wa kwanza ni Enzo na Hall tu

Kai Havertz anamhitaji kocha anayeingia kwenye mazoezi na uwanjani na kiboko. Kila akikosea achapwe kama mtoto wa nursery
Mudryk na Galagher kutojiamini na concetration
 
Chelsea wametoa ofa ya mkataba mzuri kwa Colwill lakini ipo chini ya matarajio ya Colwill. Chelsea sasa wanajiandaa kumpa mkataba mwingine ulioboreshwa. Matarajio ya Colwill ni kubakia darajani. Anapata amani akiwa darajani
1685097955239.png
 
Sasa Chelsea wako serious kumsajili kiungo mkabaji wa Sporting CP na inatarajiwa kutoa ofa sawa na ya PSG. Manuel Ugarte anatarajiwa atapewa mkataba bora zaidi. Manuel Ugarte matarajio yake yalikuwa ni kucheza Premium League. Ikumbukwe kuwa mkakati wa Chelsea ni kusajili wachezaji watatu msimu ujao ambao ni Kipa, Striker na Kiungo mkabaji.
1685098122287.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom