Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wana sura nzuri
Wana majina makub wa
Wamenunuliwa kwa bei ghali
-lakini wametufikisha nafasi ya 12 kwenye ligi na leo hopefully watatupandisha nafasi ya 13

1685282596736.png
 
---------------- Havertz ---------------------

Sterling ---------------------------- Madueke

Ghalagher ------------Enzo------------Cheek

Hall ----- Chalobah ------- Silva------Azpilicueta

--------------------Kepa---------------------

1685285822451.png
 
José Mourinho:
"I'm a fan of
  1. Porto,
  2. Inter,
  3. Chelsea, and
  4. I'm crazy about Real Madrid and
  5. now I'm a fan of Roma.
I belong to those who make a family with me, who are looking for a goal."
  1. No Manure
  2. No Spurs

1685285939796.png
 
Havertz ni sikio la kufa
  1. As days goes, hajui kujiposition kama striker
  2. Few touches in the opposition box
  3. Poche atakuwa na kazi kubwa kwake
  • Kwa ujumla leo Chelsea wanacheza vizuri
  • Bado defense inapwaya nyuma hasa kwa Azpilicueta, anaacha sana uwazi kwenye eneo lake
  • Chalobah naamini atakuja kuwa bonge la defender ila kwa sasa bado anapapara kwenye kukaba
  • Kepa anatupunguzia sana magoli ya kufungwa, naamini angekuwa Mendy kwenye form mbaya aliyonayo kwa sasa na kwa ubovu wa ukabaji wa Chelsea kwa msimu huu tungefungwa zaidi ya goli 60
  • Promising ni Madueke, ni real dribler na ana uwezo mkubwa wa kupeleka mipira kwenye box ni bahati mbaya washambuliaji wa Chelsea hawako kwenye box
  • Lewis Hall tunaye mchezaji hapo, kwa sasa ni un-droppable, ile nafasi ya LB, Chilwell atakuwa na kazi ya kumtoa Hall hapo hasa akishakomaa
  • Galagher akiwa chini ya mwalimu mzuri anafaa sana kwenye pressing na natumaini atakuja kufaa kwenye aspects zingine
 
Hata Chunkwuemeka leo kacheza vizuri zaidi ya mechi zote alizopewa kucheza
Kwea mechi ya Leo nimehakikisha kuwa pia mbele tuna uhaba wa clinical finishers, Hall anatoa krosi nzuri sana lakini wamaliziaji ni butu, aidha hawakai kwenye good positions au hawawezi kumalizia mipira
I hope Nkunku ataleta kitu tofauti sana
 
Leicester city pamoja na kumfungwa Westham bado kashuka Daraja
Hongera Sean Dyche kwa kuwaokoa Everton na aibu ya kushuka daraja

Sasa tuwachambue wachezaji wanaofaa hasa Leicester city
  1. Harvey Barnes (RW) - Newcastle na Aston Villa wanamtaka
  2. James Madison (LW) - Arsenal na Manure wanaweza kuingia hapo
  3. Wilfred Ndidi (DM) - hakuna timu iliyotangaza nia ya kumnunua huyu DM kisiki
  4. Youri Tielemans (CM) - Newcastle wanamtaka, hata A Villa na Liverpool wameontesha nia, Chelsea hata rumours hazipo
1685300858891.png
 
Soton kuna wachezaji huko nimewaona na mmoja ni taregt wa Chelsea
  1. James Ward-Prowse (28yrs) - Pochetino anamtaka Chelsea
  2. Romeo Lavia - (19yrs) Chelsea na Liverpool walikuwa wakimfuatilia sijui iliishia wapi
 
Mashabiki walio wengi hawana shida na Lampard safari hii
Tatizo la Chelsea ni zaidi ya kocha
Boehlyu anajua na ndio amaana alikiri walifanya makosa
Ukiangali comments za Silva na Sterling tatizo zaidi liko kwenye uongozi
  1. Usajili holela na kuwa na timu kubwa bila plan - Silva comment
  2. Uongozi kuingilia kazi ya makocha - namna gani sijui - Sterling comment
Hope haya yatarekebishwa kabla ya msimu ujao kama tunataka hata kuambulia kokiombe cha mbuzi

Kwa heri Lampard, uje utembelee darajani maana ulisema nyumba yako iko jirani tu na darajani
1685298011033.png
 
Sterling hafai kuvaa jezi ya chelsea

Nashangaa kwann lampard alikuwa akimuacha nje joao felix wakati hakuna quality player pale mbele kumzidi yeye.

Madueke ni mchezaji mzuri ila anatakiwa aache utoto, acheze kama mwanaume na ajue kuwa dribbling zake zinapaswa ziishie nyavuni, pia shooting drills zinatakikana sana, wachezaji wetu hawajui kipiga mashuti yanayolenga lango la timu pinzani
 
Sio lazima ziishie wavuni, kwa uchezaji wake anakwenda deep kama alivyokuwa Willian. Kinachotakiwa pale wawepo washambuliaji sharp kuweza kutap krosi zake nzuri. Kuna matumaini makubwa kwa Madueke kuweza kutengeneza chances nyingi. Changamoto ni strikwer wa kuweza kutap hizo kroses
Mimi namuona Lukaku kama striker tuliyenaye kama hatakuwepo mwingine anayeweza kuutilize krosi kama hizo
 
Maount, Cheek na Azpilicueta walikuwa kama vile wanaagana na mashabiki leo
1685303598369.png

1685303715688.png

1685303871578.png

Man city akishinda UEFA, Liverpool anacheza UEFA mwakani
Na kwa hiyo Aston Villa naye atacheza Europa wakati huo Spurs anaweza cheza UEFA Conference
Kwa hiyo hizi timu zinamuombea City ashinde UEFA kwa mara ya kwanza
  1. Liverpool
  2. Aston Villa na
  3. Tottenham Hotspurs
View attachment 2638708
Sio kweli nafikiri huifahamu hii kanuni ya UEFA. Timu 5 kutoka ligi moja zinaruhusiwa endapo bingwa wa champions league au Europa hakufanikiwa kufuzu kupitia kumaliza nafasi 4 za juu ktk ligi zenye ranking coefficient kubwa yaani EPL, La Liga, Bundesliga na Serie A.

Shakhtar Donetsk tayari amechukua nafasi ya City au Inter maana wote wamefuzu ktk ligi zao kwa njia ya kawaida. Kanuni ya UEFA inasema endapo bingwa wa UEFA amefuzu kawaida ktk ligi yake timu inayotoka ktk ligi ambayo ina coefficient rank ya juu ila timu zao zinaingia kwa mfumo wa playoffs zitapata nafasi moja kwa moja ktk group stage. Ndio maana Shakhtar jana baada ya Inter kumfunga Atlanta akaingizwa moja kwa moja ktk group stage na UEFA.

NB: Ukraine ni ligi ya 12 kwa vigezo vya UEFA (Coeff. 31)
 
OK nilichemka, huko nyuma nilifahamu hivyo kuwa nafasi ya tano anaenda UEFA kama bingwa wa UEFA au Europa ni nje ya top four
 
OK nilichemka, huko nyuma nilifahamu hivyo kuwa nafasi ya tano anaenda UEFA kama bingwa wa UEFA au Europa ni nje ya top four
Yes. UEFA ile nafasi ya mlango wa nyuma ni ya bingwa wa champions league au Europa na si vinginevyo endapo hakufuzu kwa njia ya top 4.

Tena huwa inaenda mbali zaidi ikiwa bingwa CL na Europa wote hawajafuzu kwa njia ya top 4 na wapo ktk ligi moja basi yule aliyemaliza nafasi ya 4 anaondolewa ili zibaki timu 5 tu ndani ya ligi moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom