mudryk
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 174
- 224
Upo serious mkuu kweli hatuhitaji striker?? yaani tuendelee kuwategemea akina harvetz me naona pamoja na yote uliyoyataja lakini striker anahitajika sanaKwasasa Chelsea haitaji striker bali tunataka kwanza sprit ya timu kushinda game.
Kwasasa hata ulete striker anaefunga magoli ataonekana kiraza tu. Wachezaji wajengwe kisaikolojia kwanza wawe na momentum ya kushinda then ulete striker
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app