Chelsea hiyo nafasi ilikuwa na wachezaji wazuri sana hapo zamani...kina Mark hughes, George weah, Jimmy floyd, Hasselbaink, Eidur Gudjohnsen,Tore andre Flo,hernan crespo,Anelka, Drogba...ila sasa hivi ni vichekesho tu ninavyoviona..katika miaka 25 ya kuishabikia Chelsea....sijaona kocha mbovu kama Lampard..yaani hata yuke AVB alikuwa na afadhali kuliko huyu Legend ambaye utafikiri hakucheza chini ya MourinhoNafasi ya striker THE BLUES hata waletwe Kane na Haaland wataflop.
Hawa wachezaji walicheza chini ya makocha bora duniani na bado wakaflop
1. Torres
2. Pato
3. Higuan
4. Chevchenko
5. Auba
6. Morata
7. Lukaku
Hii nafasi tuachane nayo kuisajili, tuendelee kucheza na False 9.
Kai
Nkunku
Jao Felix
Huyu na majeraha yake ya kila siku asipokua makini atapotea kwenye ulimwengu wa soka
Azpilicueta katika miaka 11 ya kuichezea Chelsea kamiss mechi 12 tu kwa ajili ya majeruhiReece James sio mchezaji wa kumjitegemea tena acheze mechi 10 mfulilizo bila majeruhi, bora tumemsajili mapema yule Gusto Malo atatusaidia.
Nkunku ni kiungo sidhani kama atachezeshwa false no. 9Hivi Nkunku, Kai, Felix watachezaje kwa pamoja naona kama Felix atarudi Athletico Madrid.
-------------- Nkunku ------------
Mudyk --- Kai -- Madueke
----------DM --- Enzo ---------
Au tutasajili Striker
-------------- Striker ------------
Mudyk --- Nkunku -- Madueke
----------DM --- Enzo ---------
Kwa interview aliyofanya jana na The Athletic, Colwill hatunaye tenaChelsea wametoa ofa ya mkataba mzuri kwa Colwill lakini ipo chini ya matarajio ya Colwill. Chelsea sasa wanajiandaa kumpa mkataba mwingine ulioboreshwa. Matarajio ya Colwill ni kubakia darajani. Anapata amani akiwa darajani
View attachment 2635321
Mountx2Kuna safisha nyumba inakuja wachezaji wazee, mizigo, injury prone na ambao hawana furaha wataondolewa kikosini:-
Mount
Sterling
Ziyech
Pulisic
Auba
Azip
Mount
Cheek
Cucurela
Silva
Mendy
Kovacic
Wanamsema ni DM mzuri sanaHuyu dogo Ugarte kwenye tetesi za kumsajili anaiweza kweli kazi ya uDM kuliko Caicedo? View attachment 2636315