lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,709
- 25,949
Kama Inter akiwa bingwa wa UCL na hapo hapo AS Roma akawa bingwa wa EuropaYes. UEFA ile nafasi ya mlango wa nyuma ni ya bingwa wa champions league au Europa na si vinginevyo endapo hakufuzu kwa njia ya top 4.
Tena huwa inaenda mbali zaidi ikiwa bingwa CL na Europa wote hawajafuzu kwa njia ya top 4 na wapo ktk ligi moja basi yule aliyemaliza nafasi ya 4 anaondolewa ili zibaki timu 5 tu ndani ya ligi moja.