Ana vyote hivyo lakini akili ya mpira hana. Ni sawa na Gallagah tu.Broja akiwa chini ya kocha mzuri ni striker wa Calibre ya Chelsea
Ni mrefu
Bouncer
Kwa sifa hizo akiwa na stamina na ball control na clinicality kwenye kufunga atakuwa kama Haaland kwa sababu ni ngumu kumnyanyasa physicaly na kwenye aerial duels

kocha anaekuja ana kazi kwelikwely awa madogo wanataka namba 

