Acha uchokozi wewe dem, kalale usiku sasaHii timu hivi mpo?
Mpo nafasi ya ngapi Mkuu OstaZ?Acha uchokozi wewe dem, kalale usiku sasa
Tunataka matokeoHakuna mchezaji wa Arsenal anaweza hii
![]()
Hapo Kombe tulibeba mama, ulikuwa wapi?Tunataka matokeo
Na si serekasi.
Hizi waachie akina Rey Mysterio na Cena.
Hapo Kombe tulibeba mama, ulikuwa wapi?
![]()
Sasa Lampard inaingia wapi hapa?Vipi
Mtaalam Lampard amewafikisha nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Hivi mko nafasi ya ngapi vile?Sasa Lampard inaingia wapi hapa?
Vp kuhusu odoi??Kama Kante anabaki na Kovacic atahitaji kuongezewa mshahara obviously kitu ambacho sidhani kama uongozi utakubali ukichukulia hatuna UCL mwakani, kuna kila dalili ofa nzuri ikiletwa Kovacic anaweza kuuzwa. na wachezaji wengine wasiopungua 6
Hawa wachezaji wengine watauzwa na wengine wanaweza kuruhusiwa kuondoka bure bure
Pia striker mpya akiletwa na kiungo mpya akiletwa, Datro Fofana na Chunkwuemeka wataenda mkopo for sure
- Pulisic
- Auba
- Koulibally
- Azpilicueta
- Lukaku - itategemea msimamo wa Lukaku na Kocha mpya
- Mason Mount - Itategemea ofa itakayotolewa na au makubaliano ya mkataba mpya
- Mendy
- Hakim Ziyech - itategemea msimamo wa Lukaku na Kocha mpya
Lewis Hall namuona akiwa backup ya Chilwell badala ya Cucurela ambaye yeye nadhani atakuwa kwenye CB kushoto na Badiashile na Levi Colwill, Kulia atakuwa Fofana na Chalobah
LB atakuwa James na Gusto
Namuona Galagher au Cheek mmoja akiuzwa
Namuona Felix akibaki kwa mkopo au akiuzwa timu nyingine na sio Chelsea
Wa mkopo watakaorudi kwenye timu naona ni Colwill labda na yule wa Burnley, Ian Maatsen
Chelsea tunahitaji coach wa kuwajenga vijana , hebu cheki wale madogo akina Bill Gilmour na Levi Colwill wanavyokichafua pale Brighton , Cobham products zile tena tulizoziona za kawaida au reject , mchezaji bila coach ni zero
Tuchel alikua mwehu, kocha hamna mule ndio manaa nasuuzwa kila siku huko alipo manina zake. Eti akabaki na galagha!!!Bill gilmour imeniuma sana kuondoka pale darajani
Gilmour alikuwa anaonyesha inconsistence pale darajaniBill gilmour imeniuma sana kuondoka pale darajani
Unamzungumziaje CHO? asepe au?Gilmour alikuwa anaonyesha inconsistence pale darajani
Kwa timu kubwa kama Chelsea academy anatakiwa aive haraka
Timu ndogo ndizo zenye uvumilivu na saa nyingine uvumilivu wa hizo timu ndogo zinawacost hadi kushuka daraja
Kwa timu kubwa kama Chelsea ukiwavumilia wakue kocha huna kibarua
Demand ya matokeo ni kubwa mno kuliko muda wa kuwasubiri wale wanaochelewa kuiva
Mount, James na wengineo hawakuchukua muda kuiva,
Hata sasa Gilmour hatuwezi kusema ameiva na kuwa na consistence wakati n9i mechi chache tu kapewa