Wewe si ulikua unaongoza ligi msimu karibia msimu mzima naona na nyinyi mnagombania nafasi ya piliNyinyi next season hata futuhi/luzaz kapu hamumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwashikia wanaume mikoba ni aibu tupuNyinyi next season hata futuhi/luzaz kapu hamumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajawahi kuwa na msaadaBoelhly anataka kuwauza hawa
- Mason Mount, [emoji780]
- Levi Colwill, [emoji777]
- Conor Gallagher, [emoji3581]
- Ruben Loftus-Cheek and [emoji3581]
- Callum Hudson-Odoi [emoji3581]
Una maanisha kuwa mtaingia bigi foo msimu huu!!!?????NEVEEEEEEEEEEEEEEEERRRRRRKuwashikia wanaume mikoba ni aibu tupu
Tunagombania na nani hiyo nafasi ya pili?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe si ulikua unaongoza ligi msimu karibia msimu mzima naona na nyinyi mnagombania nafasi ya pili
Mnaokoteza faraja
Bangi haikupendi acha kabisaChelsea will win the premier league [emoji88]
Ubingwa unagombea na nani ??? Man City alikuacha upashe kiti chake moto mwenyekiti ameludi kukikaliaTunagombania na nani hiyo nafasi ya pili?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tunagombania ubingwa nyie mnagombea kutoshuka daraja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa tunapiga ila City bingwaSasa Chelsea naomba muwapige wote hawa kwani nyie hamzipati point 9?View attachment 2614753
Sasa Chelsea naomba muwapige wote hawa kwani nyie hamzipati point 9?View attachment 2614753