Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

FvclfNPWYAAVvLr
 
Mudryk sio goal scorer japo akiendelea kucheza na kuinua confidence yake atakuja kuwa a prominent goal scorer, yeye ni wide player na kwa uchezaji wake na mbio zake anaweza kutengeneza nafasi kwa wafungaji, mbio zake ndio silaha yake
Felix anaweza kuwa na chemistry nzuri na mudryk

Lampard amweke Datro Fofana mbele leo anyway kwa sababu hao wengine wamepewa nafasi na wameshindwa

4-2-3-1

--------------Datro Fofana ------------------------

Mudryk ------------- Felix ----------------- Madueke

-----------Enzo -----------------Kante ------------

Chilwell -------Silva --------Fofana --------Chalobah

---------------------Kepa -------------------------

Chalobah akicheza pembeni anacheza vizuri kuliko akicheza CB

Hii line up ikitumika kuhindwa kwetu ni droo

Ila utashangaa Lampard akija na hii line up

433

Sterling ------------- Havertz--------------- Madueke

----Enzo ---------------Kante------------Galagher----

Chilwell -------Silva --------Fofana --------Azpilicueta

---------------------Kepa -------------------------
Angalau afadhali Sterling hayupo

433

Mudryk ------------- Havertz--------------- Madueke

---Enzo ---------------Kante------------Galagher---

Chilwell -------Badiashile --------Silva -------Chalobah

---------------------Kepa -------------------------
 
Lampard bana
Hakuna CB reserve kwenye benchi??
Kawajaza mawinga wanne kwenye benchi ya nini?
Kwani Fofana anaumwa kwa nini asingewekwa benchi?
Akiumia CB ina maana Azpilicueta ndie atacheza au Hall?
 
1-1 hata mabeki hamna
Watu wamesusa jukwaa huku,kweli kufungwa kubaya, Sasahivi mashabiki wa chelsea wanaishi kama wanyama wale tunaoita nguchiro,huwa wanamashimo yao ya kujificha adui yao,mmoja utoka shimoni kuwapa tarifa kama kuna adui au la, Sasahivi mashabiki wa chelsea wameguka hivyo wanachungulia jukwaa lao kisha wanajificha,maneno yalikuwa mengi wakati tajiri la kimarekani linamwaga pesa za usajili, Sasahivi ndio hivyo,wanaishi kwa lawama.Poleni sana mashabiki.
 
Wamekimbia aisee
 
Wamekimbia aisee
Hakuna mtu aliyesusa, wengine umeme ulikata wakati wa 1-1
Ndio umerudi saa hivi
Wengine wanaenda vibanda umiza bila simu ya kupangusa
Sasa tusubiriane mwakani, tutaushangaza ulimwengu

-------------------- H Kane----------------------

Mudryk -------------- Nkunku -------------- Maduake

Chilwell ---------Enzo ------- Kante ---- ---- James

----- Badiashile -------- Silva ------- Fofana-------

----------------- Onana------------------------
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom