Poch je ni chaguo sahihi kweli?Boehly naona sasa kichwa kinafanya kazi
Kasalimu amri
Mkataba wa miaka mitatu
Atakuwa tayari kujadiliana na kocha kuhusu usajili wa wachezaji
Bado ile gonjwa ya kwenda kujipendekeza dressing room, sidhani kama Pochettino ataruhusu huo uchafuzi wa dressing room
- IMAO
Mauricio Pochettino will be in London this week to sign the contract as new Chelsea coach, expected to be valid until June 2026. Poch will start discussing transfer plans with the club. New striker and new midfielder will join Chelsea for sure.
- Fabrizio Romano
![]()
CHO ata bure aondokeUnamzungumziaje CHO? asepe au?
Hivi kuna shabiki wa Chelsii anategemea itabeba ubingwa?Kama ile liver ya moto imechukua epl mara 1 mbele ya Pep, sembuse hii the blues inayoendelea kuungwa ungwa na solotepu.
Umeona ujipoze na takwimu za nyums.Tunaposema Londo is Blue tunamaanisha
Haya sasa, Chelsea ndio timu ya mwisho kushinda haya makombe makub wa pale London
- Premier League ☑️
- Champions League☑️
- Europa League☑️
- Club World Cup☑️
- Super Cup ☑️
- League Cup ☑️
![]()
#CFC 



Isikieni hii kiazi mbatata.Gilmour alikuwa anaonyesha inconsistence pale darajani
Kwa timu kubwa kama Chelsea academy anatakiwa aive haraka
Timu ndogo ndizo zenye uvumilivu na saa nyingine uvumilivu wa hizo timu ndogo zinawacost hadi kushuka daraja
Kwa timu kubwa kama Chelsea ukiwavumilia wakue kocha huna kibarua
Demand ya matokeo ni kubwa mno kuliko muda wa kuwasubiri wale wanaochelewa kuiva
Mount, James na wengineo hawakuchukua muda kuiva,
Hata sasa Gilmour hatuwezi kusema ameiva na kuwa na consistence wakati n9i mechi chache tu kapewa
Bila ubishi tunawapa ubingwa waoMechi ya Chelsea vs City ni ya majadiliano uwanjani. Kujadiliana na city wao wacheze, wamiliki mpira na watufunge ngapi.
City anaweza akawa Bingwa kabla ya kucheza na ChelseaBila ubishi tunawapa ubingwa wao
Ila hii timu itaniua kudadeq. Scouting team inashindwa kwenda kutafuta vijana wabichi huko America kusini kweli wanaanza kuhangaika na mtu ambae ameshajipata kwenye carrier yake kweli.According to @mattinodinapoli, Chelsea have made made an inquiry to get information about potentially signing Napoli pair Khvicha Kvaratskhelia and Stanislav Lobotka.