Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Usiniambie bado unakunywa🥺
Usiniambie bado unakunywa🥺
Wana Chelsea FC naomba tusijihangaishe kuangalia kabisa hii mechi maana Chelsea ikishinda haiendi popote na ikifungwa haiendi popote.Naona Pep ametuletea style mpya ya kucheza na CB watano bila Full back na CB wanajeuka kuwa viungo washambuliaji somo jipya kwenye mbinu za mpira.
Nilikuja ili kusema hiliMatakataka FC leo tunawapigia makofi mabingwaView attachment 2629773
Pochettino ni sikio la kufa hakidhi vigezo na hana mbinu zozote za kuifundisha klabu kubwa kama Chelsea FC.Lazima tuangalie tupate burudani sio mechi ya kukosa kuangalia kama shabiki wa mpira na timu.
Hii mechi ya leo Pochetino anatakiwa ahudhurie, aangalie madhaifu ya timu na ajifunze pia mwenzake Pep anafanya nini kimbinu.

.Ukweli mchungu sana huu kwa 100%Sasa tutafanyaje chief na ndio kocha wetu mtarajiwa.
Binafsi naona makocha wengi wa epl ni wabovu wameshindwa kumchallenge Pep.
Poche hana uwezo wa kuchukua epl mbele ya Pep.
Kama ile liverpool moto imechukua ubingwa mara 1 mbele ya Pep sembuse hii the blues ya kuunga unga kwa solotepu.
The blues tungempata kocha kama Morinyo au Conte tukawapa rungu la usajili wanavyotaka wangebeba epl mbele ya Kipara.

Watu mnapenda sana kujitafutia kufa mapema, unaanzaje kupoteza muda kushuhudia Chelsea FC mbovu namna hiyo ukaacha kuangalia;Pep ametuonea huruma sana, angepanga full mziki tungefungwa nyingi sana.
Tunacheza ovyo sana, kivivu, legelege, kama vile wachezaji wanalazimishwa kucheza, yaani tunacheza bora liende.
