Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii nayo ilikuwa mechi ya ligi au preseason?
Tofauti pekee ni kwamba
City waliweka team C na Chelsea wakaweka Team A na hapa ndipo inaonekana wazi kuwa hizi timu mbili zilistahili kuwa kwenye ligi tofauti
Chelsea ya msimu huu imebaki tu EPL kwa sababu Soton, Leicester city, Leeds, Everton walikuwa wabovu zaidi
 
Ohooo
premierleague-20230521-0005.jpg
 
Watu mnapenda sana kujitafutia kufa mapema, unaanzaje kupoteza muda kushuhudia Chelsea FC mbovu namna hiyo ukaacha kuangalia;

Yanga FC.

Kula mziki.

Kuangalia muvi.

Kutembelea mbuga za wanyama.

Kula upepo beach.

Kupiga stories za maisha na Watu mbali mbali.

Kukaa na kuenjoyi na familia yako.

Kula Pisi Kali?

Ebu furahieni uhai mliopewa na Mungu badala ya kujutakia;

BP.

KISUKARI.

VIDONDA VYA TUMBO.

SONONA.

KUGONGWA NA GARI.

Mkajifia bure kabla ya siku zenu

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Mkuu upo kama mimi. Kwassa siangaiki na mechi za chelsea. Natumia muda huo kunywa bia na kula nyama choma
 
Pochettino ni sikio la kufa hakidhi vigezo na hana mbinu zozote za kuifundisha klabu kubwa kama Chelsea FC.

Mashabiki wa Chelsea FC tujiandae kisaikolojia kwa kuwa nafasi ya 7-10 kimsimamo EPL 2023/2024..

Tuombeane uzima, nimekaa pale .

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tino ndie kocha anayepatikana kwa sasa, chaguo langu ilikuwa Conte ila Conte kwa uvumilivu wake mdogo asingeweza kuendana na akina Boehly
 
Juve alikatwa 15 tena juzi 10 jumla 25
Ingekuwa Chelsea ingeshuka draja walahi
 
Talks continue behind the scenes for Ruben Loftus-Cheek to AC Milan. He’s top target for Milan, as revealed last week. #ACMilan #CFCChelsea and Milan are discussing about the fee for permanent deal, no way for loan. RLC, keen on Serie A move.
_Fabrizio
 
Wana Chelsea wenzangu hivi Ni striker gani tukimsajili anaeza tufaa pale kwa msimu ujao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kwasasa Chelsea haitaji striker bali tunataka kwanza sprit ya timu kushinda game.

Kwasasa hata ulete striker anaefunga magoli ataonekana kiraza tu. Wachezaji wajengwe kisaikolojia kwanza wawe na momentum ya kushinda then ulete striker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom