Relax mkuu. Nasikia mnahitaji points sita tu kati ya hizo mechi 5 hivyo kuwa na amanichelsea mechi tano za mwisho asipokaza anashukaa daraja, nimeacha kushabikia the blues
Mchezaji mpira hawezi akawa amebinuka hivyo na kukimbia kishoga shoga...huyu jamaa akiolachwa na chelsea sijui timu gani kubwa itamtaka. Lampard anaendekeza uzawa wake na utamponza manina zakeHivi ni mimi tu niliona jinsi jana Sterling anavyotoa pasi kama toto la miaka miwili
Ndio maana PEP kamuondoa city haraka, hakuna tena mchezaji pale.
![]()
Mendy yupo ni kipa mzuri ila waingereza wabaguzi wa rangi wanang'ang'ania huyo mzungu pori mwenzaoUkweli ni kwamba tunamhitaji GK mwingine worldclass, Kepa sio size ya Chelsea
![]()
90% wachezaji wako vizuriKwan Chelsea kuna shida gani je kweli tatzo kocha au tatzo wachezaji aje unaweza timuwa wachezajo wote ukaanza upya au nn kifanyike
Hata tusipoambulia point hatushuki daraja,Relax mkuu. Nasikia mnahitaji points sita tu kati ya hizo mechi 5 hivyo kuwa na amani
Ikitokea hv kweli bc championship hii hapaTHE BLUES FIXTURES
Arsenal vs Chel - TUNAFUNGWA
Bournemouth vs Chel - SARE/KUFUNGWA
Chel vs N. Forest - SARE/KUFUNGWA
City vs Chel - TUNAULIWA
Man utd vs Chel - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Chel vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Je tajiri anaweza kujitahimini90% wachezaji wako vizuri
Matatizo kwa asilimia haya hapa
- Umang'aa kwenye mpira na maamuzi mabovu ya Boehly na jopo lake 65%
- Kocha mbovu na benchi lake la ufundi 20%
- Ugeni wa wachezaji 10%
- Ubovu wa wachezaji 5%
Hana namna, mimi naamini jinsi muda unavyokwenda Boehly na wenzake wanjitadhmini na watageuka watakuja kuwa viongozi wazuri.Je tajiri anaweza kujitahimini
Lakini wataalamu amewaajiri tayri ila mbona kma bado anakosea ??Hana namna, mimi naamini jinsi muda unavyokwenda Boehly na wenzake wanjitadhmini na watageuka watakuja kuwa viongozi wazuri.
Kwenye mchakato wa kujifunza huwa kuna kuboronga na huko kuboronga ndiko tunajifunzia humo humo
Mfano, kuna sehemu Boehly alikiri kuwa walifanya makosa makubwa mwanzoni ila hakusema ni makosa yepi. Naamini mojawapo ni
- Kumwaga pesa kiholela bila kumuweka kocha kwenye process
- Kumwajiri Potter
- Kuchelewa kuajiri nafasi zile za kitaaluma akabaki anafanya vyote yeye
Basi Sasa nyie kaenin tu kwa kutulia na amani itawale mioyoni mwenu. Mema yanakujaHata tusipoambulia point hatushuki daraja,
Basi Sasa nyie kaenin tu kwa kutulia na amani itawale mioyoni mwenu. Mema yanakujaHata tusipoambulia point hatushuki daraja,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah Yani mnatia huruma hata tukiwacheka ni kama tunawaonea tu aise.
Nime miss zile mbwembwe za Papaa Gx zenye alikuwa anatutania na uzi wetu ule wa pundamilia
Man u sidhani kama tumewai kuwa na msimu mbaya kama huu aise pigweni tu ila msishuke daraja tu tunawaitaji hapa.
Usijali, kushuka hatushuki, msimu ujao tutapambana hapo juu kwenye nafasi yetu. Tumewakodishia msimu huu tuDah Yani mnatia huruma hata tukiwacheka ni kama tunawaonea tu aise.
Nime miss zile mbwembwe za Papaa Gx zenye alikuwa anatutania na uzi wetu ule wa pundamilia
Man u sidhani kama tumewai kuwa na msimu mbaya kama huu aise pigweni tu ila msishuke daraja tu tunawaitaji hapa.