Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa anang'ang'ana tu na long term project hadi pale tutakapokuwa kwenye ile ligi inayoitwa "Vanarama"
1683176637287.png

1683176347311.png
 
Chelsea ingawa msimu huu mnachezea vipigo vya mbwa koko ila mimi bado nasimama na nyinyi katika magumu yote mnayoyapitia, mashabiki wote wa Epl tunapaswa tuwaheshimu na tutambue kuwa nyinyi Chelkenge ndio:

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Ligi ya mabingwa Ulaya

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Europa League

- Klabu ya mwisho kutoka London kushinda kombe la Ligi kuu ya Uingereza

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la Super Cup

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la dunia la vilabu la FIFA

Mashabiki wote wa Chelshit jipigeni vifua vyenu kisha kwa sauti kubwa semeni "Sisi ni Kenge"
tapatalk_386854997_470x680.jpg
 
Boehly kaahidi dirisha lijalo lazima tununue hawa world class
players
  1. Striker,
  2. CM
  3. GK.
 
Boehly Adai wamefanya makosa, wamejifunza na Chelsea itafanya vizuri kuwarudishia mashabiki muda wao wa kufurahi tena. "Tutairudisha Chelsea kuwa ni timu ya ushindi" alisema

Todd Boehly has promised fans he will get it right and bring the good times back to Stamford Bridge.
Boehly says he and co-owners Clearlake Capital have learned a lot about the transfer market in their first year in football and insists they will turn Chelsea back into winners.

Speaking at the Milken Institute conference on Wednesday, Boehly said: “Our view though was that this is a long-term project and we are committed to the long-term.

“We very much believe that we are going to figure it out. We have got the best league in the world, we have got what I think is the top city in the world and we have got an unbelievable location in the top city in the world.

“There is a market for top players in every country in the world and each one of those markets is different. You have the Portuguese market, the French market, the English market so (you have) the ability to go to these markets.

“Then of course you have to build a team, your coach is the conductor of the team.”

Boehly said: “There is a lot that we have learned about the different markets, the global aspect of it all. The fans are demanding. They want to win and we get that, we want to win.”
 
Hivi kama tukifugwa michezo yote iliyobaki si tunashuka daraja?
 
Hivi kama tukifugwa michezo yote iliyobaki si tunashuka daraja?
Wazandiki wanavyotutabiria mabaya bila kutafakuri kwa logic
Hakuna timu katika hizi 5 zenye uwezo wa kuchukua points hata 6, zikijitahidi sana ni 4 points points only out of 12
View attachment 2608939

FvNG17dWcAAseaC
Ili tushuke itahitajika timu zote zilizo chini yetu wao wapate points sio chini ya 10
Ebu niambie kwa hizi timu tatu kama mfano
  1. Nottingham Forest (30pts) 😳
  2. Leeds United (30pts)😀
  3. Leicester City (30pts)😕
Wapate points 10 kati ya 12 zilizobaki, wapi wapi, lini na lini
10 out of 12 pts wenye uwezo wa kupata hizo points ni timu calibvre ya city tu
 
Kuna faida gani kununua wote hao kucheza Championship na akina Sunderland?
Ndg yangu Malafyale, hata mgonjwa kuna wakati anataniwa na akizidiwa anatiwa moyo na akizidiwa sana anaombewa. Sasa ninyi ni kumsodoa tu mgonjwa hata akiwa ICU, chonde chone muwe na ubinadamu basi
 
Brighton na Chelsea wanawanunua wachezaji makinda na wenye talents
Tofauti ni kwamba Brighton wanawanunua na kuwapa muda wa kutosha kucheza
Chelsea sisis tunawanunua na kuwaweka stoo, sijui huko ndiko vipaji vyao vitainuka?
 
Chelkenge Fc , kila mkiwa wabovu mnasingizia sijui wachezaji wamegoma hawamtaki kocha, sasa sijui hawa pia wamegoma kwa makocha wote
 
Madogo wetu wapelekwe Brighton kwa mkopo wakakue huko.
Na wakirud mwendo ni uleule. Yuko wap Gallagher wa palace ambae Kila mtu alikua anamuona kama new lampard, unaamin Levi colwil akirud atapewa nafasi? Chelsea hatuna shida ya wachezaji wazuri tuna shida na mwanetu boehly.
Mfano mdogo, Nan hajui kua badiashile ni bonge la beki kwenye ule umri wake, lakn angalia jasusi lampard anachomfanyia mtoto wa watu mpk huruma.
 
Boehly anatakiwa atulize akili kwenye kuchagua na kusimamia maono yake.

The blues ya Roman ilikuwa ya usajili wa mastaa zaidi, academic players wengi walikuwa wanatolewa mkopo na kuuzwa.

Boehly amedili sana na kusajili wachezaji vijana wadogo wengi. Kama anasajili vijana wengi kutoka nje upi mustakabali wa vijana wanaozalishwa academy yetu?

Upi mpango mkakati wa hao vijana wanaosajiliwa kwenye kuendeleza kukuza vipaji vyao na ikiwezekana kuingia kwenye 1st team?

Mistakes, mistakes, mistakes.

Maadam Boehly amekiri wamevurunda kwenye maamuzi ya aspects mbalimbali baada ya kuchukua timu. Then Ni wakati wa kuyarekebisha mapema
Akiacha ubishia na ujuaji kwanza ndipo ataweza kujifunza, kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti
 
Kama vyombo vya habari vinavyodau kuwa Chelsea inataka kumpa Lukaku second chance kwenye awamu ya Pochettino basi hilo litakuwa kosa kubwa la msimu
Mentality ya Lukaku kwa Chelsea ni piure negative
Ameropoka sana kwenye vyombo vya habari kwamba yeye na inter na mashabiki wake ndiko anakopenda
Kwa maneno mengine amedai hada mvuto kwa Chelsea na mashabiki wake
Ni afadhali atafutwe striker mwenye mapenzi na timu angalau wakati akiwa na mkataba na Chelsea
Pia Datro apewe nafasi ni bonge la striker sijui sisi Chelsea tumelogwa na nani. Datro angekuwa Brighton leo hii angekuwa hot cake na tunamtaka kwa Mil 70-100
 
Boelhly anataka kuwauza hawa
  1. Mason Mount, ❓
  2. Levi Colwill, ❌
  3. Conor Gallagher, ✔️
  4. Ruben Loftus-Cheek and ✔️
  5. Callum Hudson-Odoi ✔️
 
Lakini wataalamu amewaajiri tayri ila mbona kma bado anakosea ??
Mfano kumuajiri frank hilo nalo ni kosa kubwa kufanya kwake kwenye career ya soka mkuuu
Na je kweli hao wataalamu anawasikiliza au hawapi hata muda?
Kawaajiri picha tu bado yeye anafanya maamuzi kwenye bodi na hata kuingilia kazi za ukocha, so sad kwa kweli
 
Gary Neville namuona kwa mara ya kwanza anaongea point kuhusu Chelsea
Huko nyuma nilisema Boehly kuwa mmiliki anatakiwa akae mbali sana na utendaji kwa sababu impact ya yeye kuwa karibu na watendaji na wachezaji daima ina negative impact
Wee fikiria wewe tajiri ndie unauza duka, wanunuzi watadeka na kutaka kupounguziwa bei kila siku hadi duka lifilisike, ila ukiweka muuzaji wanunuzi watanunua tu kwa kufuata bei elekezi na mwisho wa siku duka litapata faida

Boehly kuwa karibu na wachezaji na kuonge fyongo inafanya wachezaji wajikatie tamaa kwa sababu bosi ndie kasema ila kama hiyo fyongo akisema kocha wachezaji wanajua tu huyu ni mwajiriwa kama wao hana sauti kwenye maslahi yao.

Nilisema pia kama Boehly anataka kuongea na wachezaji basi afanye hivyo wakati wa kwenye kupongeza tu
Kama timu imefanya vibaya, kupitia bodi iwasiliane na kocha ili kocha ndie arekebishe mambo.

Sasa Gary Neville shabiki mfurukutwa wa Manure anampa somo Boehly

Gary Neville has called for Boehly to focus on off-field matters and stop meddling with on-pitch decisions.

"Boehly has had a nightmare and misread this league," Neville began on his Sky Sports podcast.

"I'm sure he'll learn quickly. What has happened this season is purely down to him. He needed to keep the footballing department together. He's the non-footballing department.

"You're the owner. You're not a player or a coach. You've got no experience in this league so stay where you are and allow the people to run the football club [who have done so] successfully over the last 10 years."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom