HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,994
- 102,833
Hapa napo tuliibiwa pesaMudryk kacheza dk 19 na akatengeneza big chances 3 kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea au Arsenal
![]()
![]()
Hapa napo tuliibiwa pesaMudryk kacheza dk 19 na akatengeneza big chances 3 kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea au Arsenal
![]()
![]()
Golie ghali kulikoUkweli ni kwamba tunamhitaji GK mwingine worldclass, Kepa sio size ya Chelsea
![]()
Hapo maximum points mtapata ni 2, hamna uwezo wa kushinda mechi yoyote hapo sanasana labda muambulie sare na forestGuys, tuwe serious kidogo. Kati ya mechi 5 tukijitahidi kuna uwezekano wa kushinda game mbili ambazo n pointi 6. Tofauti yetu na wa 18 ni point 9.
Guys, championship ileeeeeeeeeeeeeeee
View attachment 2607898
WanabakiKuna uwezekano mkubwa mechi ya mwisho ikawa ya maamuzi ya Kubaki EPL au muende championship
Unawapa moyo sasa🤣🤣🤣🤣Mtapigwa zote Ila mtaokota points kwa manyua united au kwa city
Na still kocha wako anamuanzisha benchi alafu anamuamini sterling ina nishangaza hii SanaMudryk kacheza dk 19 na akatengeneza big chances 3 kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea au Arsenal
![]()
![]()
Ndio maana mimi wengine wanaposema kocha mbovu mimi nasema aliyemleta kocha mbovu ndie mbovu zaidiLampard hana akili, Uingereza umemjaa.
Sio Mudryk tu, utaona hata Badiashile hachezi ila Chalobah anacheza
Katika maamuzi mabov ya Boehly ukiachana na Potter ni kumleta Lampard tena mtu ambae hana tactics zozote yani anategemea wachezaj tu,
Tuna wachezaj wazuri sema wamekosa mwalim wakuwaongoza.
Kulikuwa hakuna haja ya kumleta Lampard kwa aina ya matokeo tuliyokuwa nayo.
Tatizo haliko kwetu tu, hata tufungwe zote hatutashuka daraja, zile timu tano za mwisho ni choka mbaya wakijitahidi ni points 4 kwa mechi zilizobaki wataishia kwenye 34ptschelsea mechi tano za mwisho asipokaza anashukaa daraja, nimeacha kushabikia the blues
Mbinu moja ambayo naijua ya Lampard kwenye kujilinda ni Zonal marking ambayo inamtaka mchezaji arudi nyuma badala ya kupress au kufanya man to mana marking. Hapo ndiko Lampard anapoangukia pua puu. Timu ndogo ndizo zinafanya zonal marking. Wachezaji wamechanganywa kabisa na mbinu za Poter mara LampardUkiweka ushabiki pembeni, Jana ndiyo nimejua Chelsea hamna timu,.mna wachezaji.
Ukiacha zile movement za odegard za magoli. Kuna movement moja, ilikuwa Saka na odegard, wamecheza one-two, alafu odegard anapita mbele ya wachezaji wawili wa Chelsea. anaenda kujiposition kupokea pass ya Saka, Cha ajabu hakuna anayejaribu kumpa pressure Saka Wala odegard, hata kujaribu kuziba njia ya pass hakuna.
Yani hii timu Pochetino aje na bunduki akiaMungu ndiyo mtatoboa. Kuna vitu basic kabisa wachezaji wanashindwa kufanya, hata kugombani mpira, wachezaji wa Chelsea wamelegea kama mlenda, easily kabisa anadondoka chini.
Kwa mlipofikia inabidi kocha amuige Tenhag. Tenhag game za mwanzo timu inacheza hovyo, haifanyi vitu basic, kafuta ratiba ya kupumzika, kaenda kuwakimbiza mazoezini.
Poch akiwa mpole mtabadilisha makocha karibu Dunia nzima
Sijui kwanini anan'gan'ganiwa na makocha hasa huyu lamps Bora hata chini ya Potter angalau alikuwa anaonesha performance sio kwa huyu lampsHivi ni mimi tu niliona jinsi jana Sterling anavyotoa pasi kama toto la miaka miwili
Ndio maana PEP kamuondoa city haraka, hakuna tena mchezaji pale.
![]()