Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard naye amlipua Boehly

Asema kuwa sitofahamu ndani ya pazia kwenye uongozi wa juu ndio ulaumiwe kwa form mbaya ya Chelsea

Chelsea caretaker manager Frank Lampard has made it clear that the chaos behind the scenes at Stamford Bridge is one of the main reasons behind their horrific recent form

After losing a sixth straight match since returning to the Chelsea hot seat, caretaker manager Frank Lampard insisted that the Blues hierarchy are to blame for the current issues at the club.

And while Lampard has taken the brunt of criticism following recent results, the caretaker boss has insisted that the problems behind the scenes have had a hugely detrimental impact on the club.

0_Screenshot-2023-05-03-at-090127.jpg
 
Tumsikilize Petit anavyosema aliyoyaona mechi ya Chelsea na Arsenal\

Wachezaji hawaelewani, hakuna morale kabisa
Asema hata umlete kocha bora kuliko wote hatafanya kitu kuondoa hii hali

Nahisi kuna mgomo baridi wachezaji wanamfanyia Boehly

Tungoje tuone

Petit said: “I was quite close to the Chelsea bench and I saw some of the players having arguments between them in the second half especially.

“I was very shocked in the first half by the attitude of the players, the body language, no response, no pride, no unity, no friendship. I was thinking you could put 20 managers on the bench and it won’t change anything at all at the moment. They need to clear something in the dressing room first and then think about the manager afterwards.

“You can put the best manager on the bench now and he doesn’t get the right answer, there are too many players. It’s a mess and it was embarrassing to watch Chelsea in the first half and I feel sorry for the fans.”
 
Mechi ya Kesho
Mabadiliko
Ndani: Conor Gallagher, Mykhailo Mudryk, Kai Havertz
Nje: Mateo Kovacic, Raheem Sterling, Pierre-Emerick Aubameyang

LIne Up ya Kesho

4-2-3-1

---------------Havertz------------------

Mudryk ------- Galagher -------- Madueke

-----------Enzo ----------Kante ---------

Chilwell ------Silva ----- Fofana -----Azpilicueta
 
Vyanzo vya ndani ya Chelsea zinadai Pochettino bado hajachaguliwa kuwa bosi wa Chelsea
Mazunguzmo bado yanaendelea katika hatua za juu sana
Kilichabakia ni

  1. Urefu wa mkataba na badhi ya vipendele muhimu vya mkataba
  2. Makubaliano ya usajili wa wachezaji
  3. Makubaliano ya nani auzwe
Joke: Kuna shabiki mmoja akachombeza kuwa nadhani pia wananegotiate Boehly kuruhusiwa kuingia dressing room muda wowote akihitaji huku Tino anakataa ndia maana inachukua muda mrefu kufikiana maelewano

FvZHu79XgAIRLxe
 
Lampard alipoulizwa kuhusu kutomuanzisha Badiashile kadai kijana yuko mbioni kuanza kwenye first team
 
Kwa mazungumzo haya ya Sterling sasa naamini wasiwasi wangu juu ya Boehly kuwa anawaingilia Makocha

Raheem Sterling: "Organisation is the most important thing [to be successful]. Having a manager that has the final say on everything. He does everything his way and everyone has to follow that. Successful teams always have that."

Hayo maneno ni kama Sterling anaulalamikia uongozi wa juu kuwa hawampi kocha mamlaka yake
Anadai timu kubwa zinazofanya vizuri huwa zinampa kocha mamlaka yote
 
Tofauti ya Chelsea na Brighton

Brighton kwenye mechi dhidi ya Manure waliwaanzisha hawa kinda
Caicedo (21) Gilmour (21) Enciso (19) Buonanotte (18)
Chelsea dhidi ya Arsenal wanang'ang'ana na akina
Auba (33), Kova (28), Azpi (33), Kante (32), Silva (38)
 
Kuna wachokozi wanadai Boehly na wenzake wakienda slow kumuajiri Tino wanaweza kumkosa kwa sababu Real Madrid akitolewa kwenye nusu fainali za UEFA na City wamejiandaa kumfukuza Ancheloti na Anchelotti akifukuzwa tu anaenda kuajiriwa na Taifa la Brazil.
Perez ni mpenzi mkubwa sana wa Tino na kuna kila dalili kuwa watamnyakua mikononi mwa Boehly na wenzake wanajifanya kuwa deep analytical kumbe wanacomplicate mambo
 
Makocha watatu wamejitahidi sana kuipandisha Chelsea kutoka points 38 kwenda 39
FvV3VNFakAEYuch
 
The Blues Vs Bournemouth

Tunacheza na timu ambayo mechi 5 za mwisho imeshinda - 4, imepoteza - 1.

Ushindi wetu leo ni SARE.

The blues kufunga magoli bado ni changamoto kubwa. Huwezi shinda mechi kama timu yako inakwama kufunga magoli.

1. Auba anajitafuta
2. Kai anatukaba
3. sterling anatuvuruga
4. Jao kugongesha milingoti
5. Mudyk finish yake ni mashuti ya mtoto
6. Madueke apewe muda
Mudryk sio goal scorer japo akiendelea kucheza na kuinua confidence yake atakuja kuwa a prominent goal scorer, yeye ni wide player na kwa uchezaji wake na mbio zake anaweza kutengeneza nafasi kwa wafungaji, mbio zake ndio silaha yake
Felix anaweza kuwa na chemistry nzuri na mudryk

Lampard amweke Datro Fofana mbele leo anyway kwa sababu hao wengine wamepewa nafasi na wameshindwa

4-2-3-1

--------------Datro Fofana ------------------------

Mudryk ------------- Felix ----------------- Madueke

-----------Enzo -----------------Kante ------------

Chilwell -------Silva --------Fofana --------Chalobah

---------------------Kepa -------------------------

Chalobah akicheza pembeni anacheza vizuri kuliko akicheza CB

Hii line up ikitumika kuhindwa kwetu ni droo

Ila utashangaa Lampard akija na hii line up

433

Sterling ------------- Havertz--------------- Madueke

----Enzo ---------------Kante------------Galagher----

Chilwell -------Silva --------Fofana --------Azpilicueta

---------------------Kepa -------------------------
 
Walifanya budget ya 850m na wamepewa odds ya 2:45 against mighty Bournemouth
1683369645309.jpg
 
Matokeo ya Chelsea msimu huu hayana uhusiano na kocha hata kama makocha walioifundisha Chelsea msimu huu sio bora sana.
Tumemuonea bure Potter na tunaendelea na dhambi ile ile ya kumuonea na Lampard
Potter kafanya vizuri na Brighton
Lampard alifanya vizuri msimu wake wa kwanza na akina Tami abraham
Sisemi Lampard ni kocha mzuri sana ila nadiriki kusema kuwa kaja kuukajaga tu ukuti uliokuwa unateketea kwa moto, hakuna ambacho hata PEP angefanya kama angepewa hii Chelsea ya sasa hivi ambayo iko demotivated na Boehly kabisa

Ulegevu huu unaaonyeshwa na wachezaji wa Chelsea kwa sasa ni kati ya wachezaji na Boehly
Hawa wawili wana lao nyuma ya pazia

Hata aje kocha mteule kutoka mbinguni, mwenye nguvu zote za kimungu, hataiweza hii Chelsea ya Boehly

Ninachoshauri
  1. Approach ya uongozi wa Boehly ubadilike, awaachie wataalamu kwenye nafasi zao waiendeshe timu. Yeye abaki kwenye maamuzi makubwa nje ya uwanja
  2. Msimu wa kiangazi wachezaji woote wasiopenda kuendelea kuichezea Chelsea wauzwe hata kwa bei chee, wale wachavuzi wa dressing room nao wauzwe, wale wasiofaa kwenye mfumo wa kocha ajaye nao wauzwe. kocha mpya aongezewe strategic players, wachezaji wa kimkakati ambao atawataka
  3. Kocha ajaye apewe mamalaka ya kuendesha timu kwa asilimia 100, players manegement 100%, team management 100%, game management 100%, transfers 100%, player sales 100%
 
Chelsea na results za nyuma

2015
Kocha: Mou
pts ....... 87
kufunga .... 73
kufungwa... 32
nafasi ............ 1
1683373140504.png


2016
kocha: Mou
pts ....... 50
kufunga .... 59
kufungwa... 53
nafasi ............ 10
1683373215729.png

2017
Kocha: Conte
pts ....... 93
kufunga .... 85
kufungwa... 33
nafasi ............ 1
1683373261774.png


2018
Kocha: Conte
pts ....... 70
kufunga .... 62
kufungwa... 38
nafasi ............ 5
1683373410767.png


2019
Kocha: Sarri
pts ....... 72
kufunga .... 63
kufungwa... 39
nafasi ............ 3
1683373855235.png

2020
Kocha: Lampard
pts ....... 66
kufunga .... 69
kufungwa... 54
nafasi ............ 4
1683373891343.png

2021
Kocha: Lampard/Tuchel
pts ....... 67
kufunga .... 58
kufungwa... 36
nafasi ............ 4
1683373930566.png

2022
Kocha: Tuchel
pts ....... 74
kufunga .... 76
kufungwa... 33
nafasi ............ 3
1683373965930.png

2023
Kocha: Potter
pts ....... 42
kufunga .... 34
kufungwa... 39
nafasi ............ 11
1683400107093.png
 

Attachments

  • 1683374117274.png
    1683374117274.png
    28.7 KB · Views: 8
Kabisa Lampard akaanze kufundisha ligi ya watoto wa sunday school
Lampard kocha mzuri, anaweza asiwe kwenye calibre ya timu kubwa ila FL ni kocha mzuri
Alitumiwa tulipokuwa na ban 2020 na alitubakiza top 4 na hayo matakata yasiyofaa sasa hivi
2021 pia kazi kubwa kwenye UCL ilifanywa na Lampard
Udhaifu wa Lampard mimi naona upo kwenye uchanga wake kwenye kukochi timu kubwa
Akianzia Champioship atafanya vizuri kama alivyofanya na Count Derby
So shime mpeni heshima yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom