[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]Kumbe mzee wangu Potter hakua na shida yoyote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelsea went from bad season to worse season [emoji23][emoji23][emoji23]
Genge la wahuni TU[emoji38][emoji17][emoji17]
tumeshakubaliana na hili ni muda kutoka sasa,
Ahsante.
Kama kuna ukweli hv 😂Peter Drury: The only serious person in CHELSEA is their bus driver who takes them everyday on time to be beaten
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Peter Drury: The only serious person in CHELSEA is their bus driver who takes them everyday on time to be beaten
Boehly size yake huko, tukishuka nitafurahi. Who cares, mabilioni kamwaga yeye. atajiju mwenyeweGuys, tuwe serious kidogo. Kati ya mechi 5 tukijitahidi kuna uwezekano wa kushinda game mbili ambazo n pointi 6. Tofauti yetu na wa 18 ni point 9.
Guys, championship ileeeeeeeeeeeeeeee
View attachment 2607898
Anatunzwa kwaajili ya UEFA [emoji23]Sielewi ni kwann mudrky anakaa benchi
Lampard hana akili, Uingereza umemjaa.Sielewi ni kwann mudrky anakaa benchi
Subir lampard akusuprise[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakutana na Galagher,Loftus Cheek,Sterling,Chalobah,Azp,Kepa etcHawa vijana wanaowekwa benchi na saa nyingine hata benchi hawako ndio walitakiwa kupewa muda ili wakue watusaidie msimu ujao
Hii ya kuwang'ang'amnia dead names kama za akina Sterling ndio inatuua na kutumaliza
![]()
Mi naombea tufungwe mechi zote.Chelsea wanahitaji point 6 kutoka kwa Forest na Bournemouth ili wasiwe kwenye hatari ya kushuka daraja