Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20230502_230001.jpg
Huu sio unyama

Kwanini hamjaweka wapaka blichi?
 
Huwa na
View attachment 2607815Huu sio unyama

Kwanini hamjaweka wapaka blichi?
Huwa nafikiri kuwa Kuna kaubaguzi fulani wakiweka matokeo na picha ya mchezaji. Timu ikiwa inaongoza au ikishinda wanaitumia picha ya mchezaji mweupe. Timu ikiwa nyuma au ikifungwa wanaitumia picha ya mchezaji mweusi
 
Mnawaonea wivu wakina wigan na wycombe kwamba wanafaidi kule championship mnataka kwenda kuwaonea na wakina Enzo
Chelsea si kabila jamani kuepukana na BP, kisukari, vidonda vya tumbo, sonona na hata kujiua ili tujitafunie Pisi Kali kama Carleen, Depal na Kalpana wala usingetuonea huruma
JamiiForums-553690719.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea wanahitaji point 6 kutoka kwa Forest na Bournemouth ili wasiwe kwenye hatari ya kushuka daraja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom