Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20230419-152811.jpg
 
[emoji117] Kocha hana Mbinu za ushindi

[emoji117] Wachezaji hawana Morale ya Ushindi

[emoji117] Wachezaji wameathirika kisaikolojia na kimwili

[emoji117] Timu haina uwezo wa kufunga goli.

Tajiri dhaifu, Benchi la Ufundi dhaifu, wachezaji dhaifu = Matokeo Dhaifu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daaaahhhh michezaji inapoteza nafasi za wazi kabisa, halafu ikifika kwenye 18 inarelax tu utafikiri yenyewe
ndio inaongoza kwa goli 2-0
Hii michezaji yenu haina hata huruma kwa mashabiki wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mabeki wetu mburura kweli kweli
Mtu anapokea mpira atatuliza halafu anaangalia apige kulia au kushoto halafu anapiga bado hajakabwa
Chaloba hata yeye alijua huo mpira hataugusa ila akijitia beki mbabe. Huyo hata atolewe bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom