Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,805
Leo Ndyo TBT ehh
Bring back Golden boy BAKAYOKO [emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782]
yenu yenye huruma imepigwa chuma3 bila kuona mbeleDaaaahhhh michezaji inapoteza nafasi za wazi kabisa, halafu ikifika kwenye 18 inarelax tu utafikiri yenyewe
ndio inaongoza kwa goli 2-0
Hii michezaji yenu haina hata huruma kwa mashabiki wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Lampard for life ni kijana wetu
🤣🤣🤣🤣Kufunga goli 1 tuu ni ishu, hizo goli 3 ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Man U wadhaifu sana kwa timu za Laliga, Sevilla tangu wawauze akina Kounde imekuwa ni timu dhaifu sana sijui waliwezaje jana kuwatumbukizia magoli yota onfire Manureyenu yenye huruma imepigwa chuma3 bila kuona mbele
Unaonaje anatufaa?Mauricio Pochetino sasa ndie anaepewa chapuo lakuwa kocha mpya wa chelsea baada ya mazungumzo kwenda vizuri kwa pande zote
Sina matumaini nae.Unaonaje anatufaa?
Nilisema huko nyuma kuwa Boehly anamtaka kocha puppet, ili yeye aendeshe timu kupitia huyo PuppetInavyoonekana Boehly anataka mtu wa kumcontrol[emoji24][emoji24][emoji24] tumeisha. Mtu ambae hatopinga maamuzi yake
Julian Nagelsman[emoji777]
Luis Enrique[emoji777]
Makocha wazuri hawatakubali kufanya kazi na Boehly, hii ni ya uhakikaInavyoonekana Boehly anataka mtu wa kumcontrol[emoji24][emoji24][emoji24] tumeisha. Mtu ambae hatopinga maamuzi yake
Julian Nagelsman[emoji777]
Luis Enrique[emoji777]
nmeona adi vicent kompany [emoji23][emoji23][emoji23] ii chelsea toddy cjui anatuonaje kiukwely tutaona mengi kwa uyu mmiliki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja interview ziishe tuone watachagua nn dakika ya mwisho unashangaa paaap ralf ragnickIsije ikawa akina Boehly wanamfagilia Lampard nafasi?
Inashangaza sana kuona jina la kompany kuwa naye anawania ukocha chelsea kwa uwezo gani hasa aliokuwa nao si vichekesho hivinmeona adi vicent kompany [emoji23][emoji23][emoji23] ii chelsea toddy cjui anatuonaje kiukwely tutaona mengi kwa uyu mmiliki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja interview ziishe tuone watachagua nn dakika ya mwisho unashangaa paaap ralf ragnick
Now tuko Post Ferguson Era,Inashangaza sana kuona jina la kompany kuwa naye anawania ukocha chelsea kwa uwezo gani hasa aliokuwa nao si vichekesho hivi
Hawa matajiri hawafai kabisa kuingoza timu hili litakuwa ni anguko kubwa la Chelsea sioni tena mafanikio ktk miaka ijayo