Pole sana Mama, mi nilijilalia mapema tu maana ningeshangaa Kocha aliyekuwa anataka kuishusha underdog team daraja "Everton" ndiye afanye maajabu na timu kubwa iliyowahi kubeba hadi kombe la dunia 2022?
Niko hapa nasubiri kipigo kingine, me bhaana nishajizoelea zangu sahivi woooiiii, nitaumia kila siku na kitu hicho hicho kweli..!!
Kuna kushambulia golini na kuzurura golini.
The blues inazurura golini mwa Madrid.

Laiti huyu Mlugaluga angekuwa Mtaifa tofauti na UK hakika asingekuwepo darajani

Hongera sana kwa ushirikiano wako Mama, Chelsea FC Fans tu wamoja kama maji na samaki.
Hili tusi ni la ngumi kabisa ila kama Striker Haaland wa Mwa-City anaizidi Cheshii magoli 2022 - 2023 naanzaje kutoamini unenacho?Ukiwa na MB 10 uangalie magoli yote ya Chelsea msimu huu Bado utabakiwa na MB 9.8

Tunachoshukuru tu Mzee Baba hutumii bange, maana ungekuwa unatumia sijui ingekuwaje kwa vituko hiviLampard kabakia EPL tu sasa mtamkoma ni mwendo wa kutembeza vipigo vizito super Lampard kocha la makombe Tuna imani nae

Ilianza pale Bruce, Marina na Petr Cech kufukuzwa, ikaja Kocha halafu usajili holelaMsimu ushaisha huo, hakuna cha Uefa ndogo wala maparachichi.. 😀 😀 Vurugu zilianzia pale mwekezaji mpya alivyofika kumfukuza kocha na wachezaji kuwa majeruhi - sasa hivi Chelsea haina first 11, pale ni ingia toka.
Sasa we kwa akili ya kawaida unaona Lampard atashinda mechi yoyote ile?Kwa vyovyote vile, tujitahidi Man City anatufunga.
Me nataka moyo wa uvumilivu kama wa Senali kipindi kile,Pole sana Mama, mi nilijilalia mapema tu maana ningeshangaa Kocha aliyekuwa anataka kuishusha underdog team daraja "Everton" ndiye afanye maajabu na timu kubwa iliyowahi kubeba hadi kombe la dunia 2022?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wachezaji wengi ni average na wamenunuliwa pesa kubwa.Yaan Chesii tumeamua zetu kupack bus matopeni.
Tutaendelea na safari msimu ujao, tope litakuwa limekauka kauka.
Utadhani sio sisi tuliokaa kileleni wakati EPL inaanza.
Lampard aondoke ili twende ConferenceMm naendelea kufurahia haya matokeo, nataman msimu ujao tusiwepo kwenye mashindano mengi hasa ya Ulaya.
Bosi hakimbii timu yeye ataendelea pata hasara ila ndani ya miaka 15 atarudisha pesa zakeHata mwakani dalili za kumaliza top 4 hakuna
Tujiandae tu na maumivu hadi Boehly ajiuzulu
Naomba tufungwe hadi Lampard afukuzweWazee wa project isiyo na plan. .
Kwa miaka 20 Arsenal hatujachukua ligi lakini hatujawahi kuzingua hivi mwisho wa msimu.
Mtafute manager haraka sana before end of season Lampard is too soft for the Squad. Mzaha mzaha mtashuka.View attachment 2592766
Ht conference siitakiLampard aondoke ili twende Conference