😂😂😂Tulia hapo hapo uendelee kula chuma hicho 😂
Hizi picha unatoaga wapi
Na game zijazo uwe mpole uendelee kula vyuma😂😂😂
Nilitaka kabisa kuinuka nikasema siwezi shindwa mara mbili at least ya Mbaga nishinde..
[emoji23][emoji23][emoji23] Nyie makabati fc mnafungua madroo halafu mnayaacha wazi, haya nendeni mkayafunge madroo yenu kabla mende hawajajaa kabatini.Nyinyi ni mmeoza ila nyumbu ni wajinga sana
😂😂😂😂
Huyo mtoto mie nitamsubiria World Cup.😂😂😂😂
Shughuli haikuwa rahisi mdogo wangu..!!🙌
Salamu zangu za dhati zimfikie Rodrygo...!!
Nimecheka balaaa humu jamvini kuna watu wana vituko sana.Madrid kale kamtego kao ka kusubiri waanze kufungwa walivyoona kameshtukiwa wameamua kuanza kutembeza bakora
Oyaaaaaaah😁😁😁Oyah mbona hawa Madrid wepesi tunafail wapi
Maamuzi mabov ya Boehly yametufanya tuwe hapa tulipo.Chelsea mwezi wa nne unaisha timu nzima imefunga goli moja tu