DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Mmebaduliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]Mm naendelea kufurahia haya matokeo, nataman msimu ujao tusiwepo kwenye mashindano mengi hasa ya Ulaya.
Mmebaduliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]Mm naendelea kufurahia haya matokeo, nataman msimu ujao tusiwepo kwenye mashindano mengi hasa ya Ulaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelsea sio timuKatika mechi 21 ya 2023, Chelsea imeshinda 4 tu
Nilisema hili mapema kina olachugq wakabisha[emoji1787]Wachezaji wengi ni average na wamenunuliwa pesa kubwa.
Makocha wanazingua sana
Lampard sio kocha na hatakiwi hata kuwepo Chelsea
Inauma hiyoooooooo 😂Mmebaduliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
Sikusema aache timu, ajiuzulu kusimamia timu kama mtumishi kwa sababu hajui mambo ya soka, yeye asubiri kufanya maamuzi makubwa tu kama alivyokuwa anafanya RomanBosi hakimbii timu yeye ataendelea pata hasara ila ndani ya miaka 15 atarudisha pesa zake
Na ameitamani sana kazi ya ChelseaInaonekana kabisa manager wetu ajae ni Julian Nagelsman.
Kama tungekuwa na mpango na Enrique tungekuwa tushamtangaza baada ya kumtimua Potter
Wachezaji wazuri sana kuliko hata Arsenal, walichokosa ni kocha mzuri tu na mabosi kuingilia kazi ya kochaWachezaji wengi ni average na wamenunuliwa pesa kubwa.
Makocha wanazingua sana
Lampard sio kocha na hatakiwi hata kuwepo Chelsea
Wamepose ili wamalize kumhoji Julian NagelsmannInaonekana kabisa manager wetu ajae ni Julian Nagelsman.
Kama tungekuwa na mpango na Enrique tungekuwa tushamtangaza baada ya kumtimua Potter