Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ile nafasi ya Kuku angekua huyu mwamba tunahesabu mengine
20230418_225612.jpg
 
Chalobah akiwemo uwanjani tunategemea kuwafunga Real Madrid kweli hii haki
 
Mabeki wetu mburura kweli kweli
Mtu anapokea mpira atatuliza halafu anaangalia apige kulia au kushoto halafu anapiga bado hajakabwa
Chaloba hata yeye alijua huo mpira hataugusa ila akijitia beki mbabe. Huyo hata atolewe bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom