Si alifundisha Arsenal alifanya niniUnai Emery aliikuta Aston Villa nafasi ya 17, kaikokota hadi nafasi ya 6 na nasikia hali ya hewa kule villa park na dressing room ni shwari na hamonious hujapata kuiona. Usishangae kwa mechi 7 zilizobaki Aston Villa akacheza Championship
Wakati anaikuta Aston Villa kwenye 17 nadhani sisi tulikuwa 7 au 8
Wakati wa kuangalia makocha wa kuwasajili makocha kama hawa huwa tunawadharau na kung'ang'ana na matapishi yale yale

