🤣🤣🤣🤣Nasikia baada ya mechi ya Brighton kuisha boss Alienda kuwachamba wachezaji![]()
🤣🤣🤣🤣Nasikia baada ya mechi ya Brighton kuisha boss Alienda kuwachamba wachezaji![]()
Mbona unatujazia takataka humu ndani ?Hakuna haja ya Enrique Iglesias Lampard anatosha
Shindwaaaa shetaniLeo tunapigwa 5
Embu fanya kunitumia kwanza ile picha ya kademu cha Cheltako kapo na chupi tu nipate nguvu maana timu yangu ya Cheltako ni chama la wana kila mtu anajipigiaCarrasco leo chama lako The Blues lipo uwanjani, njoo uwape maneno ya faraja na hamasa mashabiki Wenzako.
Kwa nini umemuondoa Puttin?Embu fanya kunitumia kwanza ile picha ya kademu cha Cheltako kapo na chupi tu nipate nguvu maana timu yangu ya Cheltako ni chama la wana kila mtu anajipigia
Labda Shetani ndo ameshauri hili kosi la mabeki tu