Jana Brigton kwa quality ya mchezo waliuonyesha hawakustahili kutoka na magoli mawili na lile moja walifungwa kwa bahati mbaya tu.
Infact ile mechi waliyotufunga 4, Chelsea tulicheza vizuri kuliko wao, umaliziaji wetu tu haukuwa mzuri
Ila jana tulicheza fyongo kuliko, upangaji wa wachezaji ulikuwa hovyo
Tuna wachezaji 30 wenye akili timamu, wako akina datro fofana, mabueke hawajaribiwi tunarudia takataka zile zile
Silva tumekumiss sana kwenye defense, imekosa mwelekeo kabisa naomba rudi mapema hata kabla ya mechi na Real MAdrid jumanne