Ha ha ha baiskeli ya plasticBrighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki
Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo
Jana ziligawia pipi pale kati
Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard
Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)
Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi
Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi
Halafu anaitwa magwaya mara guehi
Welcome backSterling - Paparazi
Gallagher - Mpira vurugu
Cucurela - Waruwaru
Kai - Konokono
Pulisic - Mtumishi hewa
Mount - Kinyonga
Lampard - Kilaza
Toddy Bohel - Jangili
Si tulikubaliana TT ndo mwenye matatizoHata Tuchel angekuwepo asingejenga chemistry nzuri na Boehly, mchawi wa Chelsea ni Boehly kuingilia uendeshaji wa timu, period

Utashangaa wakamchukua Vicent company dah!.Bodi ya Chelsea wameongeza makocha wawili tena kwenye usaili na kufikia makocha watano hadi sasa
Walioongezwa ni
The Blues have also added Burnley boss Vincent Kompany and Palmeiras coach Abel Ferreira
- Vincent Company
- Abel Ferreira wa Palmeiras
Jumla ya makocha waliofanyiwa usaili ni
- Julian Nagelsmann
- Luis Enrique
- Ruben Amorim
- Vincent Company
- Abel Ferreira
Eti shabiki wa liva nae anatucheka😂😂😂Si tulikubaliana TT ndo mwenye matatizo![]()
Timu yako ipo below Top tenEti shabiki wa liva nae anatucheka![]()
Ili Chelsea ikishuka daraja aipandishe tena, wenzako wanaona mbaliUtashangaa wakamchukua Vicent company dah!.
ww uliopo above ten na mm niliopo below ten kuna utafaut gani? Wote hatupat chochote, ndio mana nakushangaa unatucheka? Mwenye chongo anamcheka mwenye kengeza😂😂😂😂Timu yako ipo below Top ten