lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Narudia kusema Kepa kacheza vizuri sana leo, katuweka mchezoni hadi dk ya 42
Ila kuna mashuti sio size yake kabisa na hasa mashuti ya mbali
Urefu wake unamponza, kajitanua hadi mwisho bado chuma ikaingia
Lile shuti Mendy angeokoa hata kwa kidole