Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo ni zamu ya mudi kukaa kwenye post akipokea mikoba ya mpaka blichi

Hii mikataba ya miaka 10 itawaua hawa vijana
20230415_192228.jpg
 
Lampard hana muda ya kutoa hamasa kwa wachezaji. Yupo kwenye touvhline kama shabiki tu husikii akifoka wala kuita fulani fanya hiki au kile hamna.

Aseeh tunahitaji COMMANDING coach sio huyu naona anazidi kujichafulia CV yake ndani ya Chelsea. Alifanya vizuri kwenye uchezaji inatosha huku kwingine naona analazimisha tu hakumfai kabisa
 
Kuna kitu nakihisi kipo nyuma ya pazia

Tangu waondoke wakina Marina na Bruce na hawa Kina Peter Cech Team imekua na muelekeo mbaya saana isije kua wana kula njama na wachezaji nyuma ya pazia
 
Kuna kitu nakihisi kipo nyuma ya pazia

Tangu waondoke wakina Marina na Bruce na hawa Kina Peter Cech Team imekua na muelekeo mbaya saana isije kua wana kula njama na wachezaji nyuma ya pazia
Maamuzi mabov ya Boehly ndio yametufanya tuwe hapa tulipo.

Tuna wachezaj wazuri waliokosa kocha.

Tukutane msim ujao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom