Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu kuna magoli huwezi kumlaumu kipa. Kama goli la pili ni mara chache sana makipa wanasave makombora kama yale
Mkuu magoal ya kepa ni yale yale kila siku,

Mendy kafungwa mangapi ya hivyo,au Wakina Cech,Courtois mangapi yq vile wamefungwa halaf njoo kwa kepa ss
 
Matatizo tuliyonayo sasa chanzo kikubwa ni Boehly.

Tunawachezaj wazur ila hawana kocha, mchezaj anakuwa na mpira ila ukiangalia hajui apeleke wapi yani hakuna muunganiko wowote ule.

Yani tunahitaj kocha mzuri sana atakaewafanya hawa wachezaj tuwafaidi
 
Game bado tough sana
Screenshot_20221023-132547~2.png
 
Yaani tunajiabisha kwa timu zingine kwa majigambo haya, tuache tu ili tufiche aibu yetu
Naelewa stress mlokuwa nazo
600k na hakuna kinachoeleweka si mchezo

Heri sisi tatizo linaonekana ni hatujanunua.
Sasa nyie ndugu zetu dah!
 
Bado hatujafungwa kwa sababu ya Kepa. Ila tupo uchi sana.
Yaani
  • Fofana ni beki mzuri sana ila leo hakucheza vizuri
  • Chalobah ni wa kuuzwa, sio calibre wa Chelsea
  • Badiashile anahitaji kuwa chini ya Silva hadi akomae
  • Chilwell anafaa tu kwenye backline ya 3, 4 hawezi kukaba
  • Kilichotuangusha zaidi sio mchezaji mmoja mmoja, falsafa, mentality na approach ni mbaya sana- wachezaji hawana nguvu ya kupress kama wanavyofanya wenzao, hawako agressive langoni wala uwanjani kwenye kupasiana, so mlenda mlenda- hii hapa ni kazi ya kocha
 
Chelsea itafungwa mechi zote hadi wamfukuze Lampard

Wiki ijayo Madrid wanatufunga tena
Lampard hafukuzwi, aliletwa ili kutuliza hasira za mashabiki wasigome kuingia uwanjan i au mwakani wasigome kununua tickets
Lampard kaletwa kimakosa kwa sababu yule beki wa Brighton angetosha, tena sana
 
Nyie kenge mmelombwa tena dah yani mnagawa tu kama pipi
Super Frank Lamparange.

The Ligend of Chelsea.

Fantastic and competitive Coach.

Apewe mkataba wa miaka buku "millennium"

Hakuna mwingine kabisa zaidi ya FL.

Tumeipenda wenyewe Chelsea na tuvimbe tupasuke.

Asepimbi nipeni moyo wa kuvumilia mateso ya Chelsea FC la sivyo nitapasua hii TV hapa kibanda umiza

JamiiForums-1387865150.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea spent £323M in the January transfer window.

They are currently:

10 points behind Brighton
14 points behind Tottenham
17 points behind Manjesta
17 points behind Newcastle
28 points behind Man City
34 points behind Arsenal

NB: PICHA HAINA UHUSIHANO NA COMMENT
IMG_20230414_132750.jpg
 
Super Frank Lamparange.

The Ligend of Chelsea.

Fantastic and competitive Coach.

Apewe mkataba wa miaka buku "millennium"

Hakuna mwingine kabisa zaidi ya FL.

Tumeipenda wenyewe Chelsea na tuvimbe tupasuke.

Asepimbi nipeni moyo wa kuvumilia mateso ya Chelsea FC la sivyo nitapasua hii TV hapa kibanda umiza

View attachment 2589041

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Arsenal pamoja na ups and downs hatujawahi kushika nafasi za 10 huko

Hata nafasi ya 8 Ni baada ya Arteta kuchukua timu January
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom