Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anafanyiwa usaili
Ruben Amorim - kocha wa sasa wa Sporting ya Ureno
Wewe una maoni gani?
GettyImages-1247947930.jpg
 
Anafanyiwa usaili
Ruben Amorim - kocha wa sasa wa Sporting ya Ureno
Wewe una maoni gani?
GettyImages-1247947930.jpg
Mnazidi kupoteana na kusajili average coacher ,makocha wenye mindset za mid table team [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Daah maboss hawataki kukurupuka. Ila uwepo wao tu tayari ni mashaka
Sijui kwanini walimbania yule Mwarabu kuichukua timu baada ya Abrahamovich, yani Mamarekani yapo kimaslahi tu wala hayako sirias na mafanikio ya kubeba makombe kama ilivyo kwa Matajiri wa Kiarabu wa PSG, New Castle na Mwa-City [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Makocha wapya huwa wanaleta msisimko Fulani kwa timu, Ila Lampard bado Chelsea inastruggle kama mwanzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom