Tusimuonee keppa...he made many fantastic saves..goli la kwanza huwezi kumlaumu kabisa..alijitahidi kufanya save ila beki walishindwa kuubutua mpira na kumuacha benzema akicheka na nyavu. Pia fofana alizingua kukaba unamkabaje vini jr kinyumenyume vile.
Goli la pili ni makosa ya huyo fofana kwanza amezuia uwezo wa kipa kuona pia aliruhusu mpira kumpita tobo..kepa kuja kusthtuka mpira upo kambani.
Chilwell jana hakuwa kwenye form kabisa sijui hata kama anajua nini maana ya wing back...kipindi cha kwanza chote sidhani kama alipanda kwenda kushambulia. James alikuwa active ila huwezi kumlaumu kwasababu ya Vini jr...alikuwa anahofia sana kupanda ili asije kupigwa counter attack