Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Technically matekeo ni 0-0 ndo elikua game plan ya FL, na alifanikiwa isipo kua Kepp alimuangusha kwa kufungwa mipira rahisi.

hi team ina hitaji Mwalimu muzoefu na mwenye jina, ndo tutanza kuona tofauti ya Enzo, Felex fofana nk. kwasasa ni wa kawaida sana, timu gani ikiwa na wachezaji kamiri anacheza hovyo ila ikiwa na wachezaji pungufu inacheza vizuri hata kuliko awali, kuna tatizo la kiufundi nyuma yake.
Gharagha bora otolewi mkopo hana skills za mpira ni kurukaruka ndani na kukibia, ila ukweli ni kwamba hatuwezi kutoba kwa Madrid hata wakija darajani tutatoka sare au kutupiga 1-0 msimu ujao ndo tutakua na matumaini tikipata kocha kama Enrique ndo mwenye mbinu na uzoefu FL hapana.
 
Mashabiki wenzangu wa Chelsea kusema ukweli hii timu ni mbovu mbovu mbovu.

Tusijipe matumaini hewa.

Huu msimu hatuna chetu.

Wachezaji wote viwango vibovu

Hawachezi kitimu Kila mtu anacheza anavyojua yeye.

Hata yanga anaweza ichapa hii trust me

Halafu why back pass nyingi jamaa alianzisha huu uchafu wa back pass back pass kaiharibu sana hii timu.

Huu msimu tuwaachie tu walio serious pengine labda na ishu kuvadilisha umiliki imevuruga Kila kitu.

Boehly ni lazima awe mkali Sasa hata kwa players huu ni ujinga wanajichezaa tu.

Reece James siku hizi Wala hazami kati na kufunga yake magoli yake mazuri siku hizi ni bingwa wa back pass.

Hii timu apewe lampard Moja kwa moja no heri akae nao lamps ni mkali kidogo anaweza wachangamsha

Wamuongezee John Terry pale kwenye benchi wake na Ashley Cole Hawa madogo mafala lazima wanyooke .
Pia wamuongeze Nicholas Anelka kama kocha wa makipa
 
Malengo ya Lampard ilikuwa ni kujilinda bahati mbaya kikosi kilikuwa hakina muunganiko kabisa kila 1 anacheza anavyojua yeye
Huwezi kujilinda dhidi ya real madrid kwa dk 90...Real wapo valnurable ukiwashambulia
Mrangazaji alikuwa anasema Chelsea ni washindani wazuri .ila umaliziaji ni butu

Huyu Felix ni overrated ila anazidiwa na walio bench
Felix ni mchezaji mzuri tatizo linakuja ni nani wa kucheza nae pale mbele...jana walikuwa isolated peke yao mbele ...central midfielders wetu walikuwa hawapush ktk kushambulia, sasa unategemea felix a-dribble peke yake then afunge...timu haina hata striker
 
Alipoingia Ansensio nilijua goli la mbali litafungwa kupitia mguu wa kushoto
Kuna magoli mengine Mendy pekee ndie anayeweza kuyaokoa, Kepa hawezi kabisa
Tusimuonee keppa...he made many fantastic saves..goli la kwanza huwezi kumlaumu kabisa..alijitahidi kufanya save ila beki walishindwa kuubutua mpira na kumuacha benzema akicheka na nyavu. Pia fofana alizingua kukaba unamkabaje vini jr kinyumenyume vile.

Goli la pili ni makosa ya huyo fofana kwanza amezuia uwezo wa kipa kuona pia aliruhusu mpira kumpita tobo..kepa kuja kusthtuka mpira upo kambani.

Chilwell jana hakuwa kwenye form kabisa sijui hata kama anajua nini maana ya wing back...kipindi cha kwanza chote sidhani kama alipanda kwenda kushambulia. James alikuwa active ila huwezi kumlaumu kwasababu ya Vini jr...alikuwa anahofia sana kupanda ili asije kupigwa counter attack
 
Niliona mambo kama saba (7) jana kwenye mechi yetu pendwa na RM
Chelsea walikuwa legelege tofauti na RM
One touch za RM ziliwafanya Chelsea wabaki uwanjani bila kujua cha kufanya
Game plan ya kujilinda iliwapa uhuru RM kucheza watakavyo
Uamuzi mbaya wa Chillwell wa kumshika Rodrygo umeicost timu ktk harakati za kusawazisha au kufanya matokeo yabakie 1-0
Ubora wa Benzema wa 2 to 3 yrs ago umepungua sana, angetufunga nyingi jana
Fofana alimdhibiti vizuri Vinincius Jr.
Kepa kacheza vizuri jana ila yale magoli bado angefanya jitihada fulani
 
Sawa mchambuzi! Na mwaka jana walipokutana katika robo fainali je.? fahamu hivi Real Madrid wakiwa wabovu wakutane na timu yoyote iwe katika kiwango gani kwenye Uefa hasa suala la robo ,nusu na fainali wanakumaliza tu ndugu yangu,haujifunzi huko nyuma??
 
Hawanaga masihara hasa wanapofikia hatua ya nusu fainali au fainali
 
Malengo ya Lampard ilikuwa ni kujilinda bahati mbaya kikosi kilikuwa hakina muunganiko kabisa kila 1 anacheza anavyojua yeye
Tuchel alikuwaga hapaki bus na hawa jamaa, na akipaki bus basi hawezi kupanga viungo watatu(Haiwezi kuwork out).

Match ya pili ya Dortmund tulicheza vizuri sana.

Kiukweli kufungwa jana ni kwa kujitakia.
 
Ila kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...

Hata mechi ya Livepool chini ya Bruno mwanafunzi wa Potter tulicheza amsha zilikuwepo

Ila Lampard ka tumeanza upya vile....

Kwa jinsi tulivyocheza mechi mbili zilizopita ni waz kumeudisha Lampard ni boko....
 
Todd Boehly: “Chelsea are gonna win 3-0 tonight. I tell the fans: have a lot of faith”. #CFC

“We look at this as a long term process, we have a lot of work to do. We’ve lot of faith about the future. Our future is bright”.
Huwezi kununua wachezaji wa £600M kisha ukasema ni long term process

Ni mlevi tu ndo anaweza kukuelewa
20230326_215318.jpg
 
Ila kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...

Hata mechi ya Livepool chini ya Bruno mwanafunzi wa Potter tulicheza amsha zilikuwepo

Ila Lampard ka tumeanza upya vile....

Kwa jinsi tulivyocheza mechi mbili zilizopita ni waz kumeudisha Lampard ni boko....
Mmeanza kumkumbuka Potter tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom