Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Ukiwa na akili hata za kukaa kimya tu Lampard hastahili kabisa kulaumiwa maana hajachukua hata siku 10 tangu apewe mikoba ya ukocha wa muda na Mabosi wa Chelsea FC.Lampard hafai kuwa Kocha
Apumzike tu kama hakutafuta pesa za kujitunza akakate hata majani
Pia Thomas Tuchel hapaswi kulaumiwa na Bayern Munich akitolewa hata kwa 7-0 na Man City.

