Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

huyo cheki ndipo matatizo yanapoaniaga, hana ubunifu ni shida - Huyo steling wa movie na yeye bado hajapata click tangu ajiunge chelsea bado anahangaikia maisha yake, Choba atusubiri nje, Galagher bado ana struggle ku click kwenye timu.
Line aliyotoa huyou bwana wa juu ni zuri ila hawa majeruhi wawili Mendy na Silva kuwaingiza straight kwenye first lineup aiseee ni risk, watu wamekaa nje zaidi ya mwezi - how are you going to prove their fitness ? hii ni mechi ya mtoano kaka.
kikos kina takataka Havertz, sijui kwa nini mudryk haamini siku acheze hat dk.90.
Sio kwamba mm napenda hao wachezaji wawepo kwnye kikosi. Ila kocha wenu ndio utashangaa kikosi kina galaghar,sterling,cheek,chalobar.
 
Ebwana Bayern kasulubiwa huko mpaka aibu , lile li Guardiola linajua ball aisee msilete utani kabisa , yaani nimekaa naangalia ule mpira mpaka raha ,yaani bayern kakaangwa kisawa sawa
Chelsea inabidi ipate coach wa kufundisha mpira wa kushambulia faster na kupress kama vile ,bayern second half wamedhalilishwa sana
Kocha TT hana hata wiki 2 tu ulitegemea Bayern Munich ingefanya naye maajabu gani haswa?

Akili. Akili. Akili.
 
. nothing else
JamiiForums-191221970.jpg
 
Todd Boehly: “Chelsea are gonna win 3-0 tonight. I tell the fans: have a lot of faith”. #CFC

“We look at this as a long term process, we have a lot of work to do. We’ve lot of faith about the future. Our future is bright”.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom